Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kipindi cha pili Chelsea hawakuwa na shot on target hata moja
Wamemiliki mpira kwa wastani wa 75% lakini unawaona kabisa hawakuwa na plan, strategy wala mbinu zozote za kufunga goli
form za Mount, Kante na Alonso zilikuwa zinatubeba sasa wote hawakuwepo, Alonso katolewa mapema
 
Refa alikuwa upande wao Juve, haiwezekani rafu zote walizowachezea wachezaji wa Chelsea lakini hawana kadi ya njano hata 1

Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
 
Chelwowo mpo nacheka saaaaana Hahahaha. Goal 1-1 Rukaku 97min hahaha
 
Huyo Kai ni kilaza ni kiaz sana winga kama namba 9 kurudi kati hakuna mido ya kuforce mashambulizi tuchel hii mbinu ya vipas inatuumiza sana kwenye game kama hiz dah
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom