Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kwa competition iliyoko sasa nina imani wataimprove
Ila mue na msimamo mnayubishwa sana na matokeo ya mechi moja sanaa tukipoteza kwanini?...........Tatizo kuu la the blues ni technical and fatigue ya wachezaji wana kosa consistence, ila pale ukimuondoa Saul hamna mchezaji mbaya hata bakery kuna match atakazo tufaa sana, Lukaku in bonge la striker anytime ana kuokoa kwa kufunga, Warner hata asipo funga ana impact kwenye match Mount ni mzuri ila hana consistency, Hakim ni middle fielder mwenye uwezo wa kufungia mbali Harvaz ukikosea kumuuza utajutia kama timu......kwahiyo Chelsea ni zuri adui wetu mkubwa ni consistency VAR na lucky.
 
Nilichokipenda jana wakat tuko 1-1 ni vile unamtoa loftus cheek anaingia barkley, huku bench una kai na ziyech, hii inawapa wachezaj morale kwamba ukionesha kiwngo kizuri utacheza, so kila mmoja atakuwa anapigania namba yake ipasavyo

Siku zote huwa tukicheza huku tuko na watu wanaoweza kukimbia nyuma ya mabeki tunakuwa hatar sana, ukiangalia mikimbio ya chilwel, werner hata odoi

Kingine ni mda wa tuchel kuwatumia werner n lukaku, lukaku anavyokabwa na wachezaj wawil wa team pinzani kuna create chance kw werner
Refer goal la werner lililokataliwa na ile save aliyofanya mccarthy kwa werner

Tunaenda international break, kikubwa tusipate majeruhi yeyote,
Umesemwa kweli kabisa, Refer lile goli la Werner la kichwa bana kuna beki alikuwa anamganda Lukaku asiweze kuruka, hapo hapo akamuachja Werner huru kabisa
 
RLC bado si mzuri kwenye pasi, pasi zake hazifiki kwa usahihi.
One of the best player for Yesterday match alikuwa ni RLC, pasi kazitoa vizuri tu, wewe umechukulia pasi chache zilizofeli na ni kawaida kwa kila mchezaji
Mfano Assist ya Ruben Loftas Cheek kwenye goli la kwanza hakuna aliyeiona jamani, wonderful flick to Chalobah

TT on RLC Selection

"We decided to put Ruben because we were aware of their high pressing in midfield but we still wanted to go through midfield," the Chelsea head coach explained. "Ruben and Kova [Mateo Kovacic] can not only pass but drive with the ball to escape the press. That is the reason we picked them."

RLC ana uwezo wa kushoot kutokea nje ya box na jana kidogo afunge goli kwa style hiyo
Hata Ross Barkley ana uwezo huo pia na ndio sababu ya TT kumuweka jana. TT mwenye kasema baada ya kupoteza mechi mbili mfululizo alihisi Chelsea inakosa kitu fulani, uwezo wa kucreate chances na kushoot from a distance

Ross Barkley ana uwezo huo wa kutengeneza nafasi na Kupiga na kufunga magoli ya mbali

TT on Ross Barkley

"For Ross," he continued, "we hoped he could show what he shows in training. He is very active, does not feel the pressure and is always ready to create something.

"He has a strong right foot and has sharp passing.

"We hope he could create or shoot from distance and increase the pressure around the box."
 
Mkuu kwenye ushabiki wewe bado. Inabidi uendelee na harakati ingine.

Timu hata iwe Bora kiasi gani lazima itafungwa tu.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Shabiki unapopatwa na hasira unaweza sema lolote na hasa timu inapofungwa na hasa zaidi timu iliyotumia pesa nyingi sokoni halafu bado inafunmgwa kirahisi hivyo
 
Seriously.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Very seriously, hawa wachezaji tuliwanunua tukawauza kwa hasara. Sio jambo geni kwa Chelsea
  1. Fernando Torres
  2. Michy Batshuayi
  3. Juan Cuadrado
  4. Tiémoué Bakayoko
  5. Álvaro Morata
  6. Danny Drinkwater
  7. Kepa Arrizabalaga - Kakosa bei hata mil 30 tungemuuza
  8. Radamel Falcao
 
Huu ni wakati wa WERNER kufunga magoli mengi, kabla ya ujio wa Lukaku macho yote yalikuwa kwake, thus why alikuwa na presha kubwa sana mbele ya goli.

Anavyopangwa na Lukaku pale mbele anakuwa comfortable kucheza.

TT akiendelea kuwapanga kwa pamoja, amin amin nawaambia Werner atafunga magoli mengi kuliko Lukaku.

Tunahitaji mashambulizi ya nguvu na kasi pale mbele, Kai na Ziyech watupishe kidogo wakitokea SUB itapendeza.
Yaani ni kweli. Wakiwekewa Lukaku na Timo huko mbele bila shaka Lukaku ndio atawekewa marking kubwa na wapinzani wakati huo huo Timo sasa ndio anakuwa anasumbua
 
One of the best player for Yesterday match alikuwa ni RLC, pasi kazitoa vizuri tu, wewe umechukulia pasi chache zilizofeli na ni kawaida kwa kila mchezaji
Mfano Assist ya Ruben Loftas Cheek kwenye goli la kwanza hakuna aliyeiona jamani, wonderful flick to Chalobah

TT on RLC Selection

"We decided to put Ruben because we were aware of their high pressing in midfield but we still wanted to go through midfield," the Chelsea head coach explained. "Ruben and Kova [Mateo Kovacic] can not only pass but drive with the ball to escape the press. That is the reason we picked them."

RLC ana uwezo wa kushoot kutokea nje ya box na jana kidogo afunge goli kwa style hiyo
Hata Ross Barkley ana uwezo huo pia na ndio sababu ya TT kumuweka jana. TT mwenye kasema baada ya kupoteza mechi mbili mfululizo alihisi Chelsea inakosa kitu fulani, uwezo wa kucreate chances na kushoot from a distance

Ross Barkley ana uwezo huo wa kutengeneza nafasi na Kupiga na kufunga magoli ya mbali

TT on Ross Barkley

"For Ross," he continued, "we hoped he could show what he shows in training. He is very active, does not feel the pressure and is always ready to create something.

"He has a strong right foot and has sharp passing.

"We hope he could create or shoot from distance and increase the pressure around the box."
Duh, Kama hujamlisha maneno (joking ), huyu kocha ni genius
 
Jimmy Floyd hasselbank
Gianfrancoz zola
Gudjenson
Mateja kezman
Claude makelele
Marcel desailly
Hernan crespo
Galas
Anrdri shevshenko
Michael ballack
Michael essien

Damn!!! #ktbffh
Michael Ballack ananikumbusha Chelsea ya moto sana daaah...! Mashuti ya mbali kwa miguu yote kulia na kushoto na yenye uhakika wa kulenga goli, nashindwa kuelewa sijui kwanini Chelsea ya leo haina wapiga mashuti wa mbali zaidi ya Lukaku tu pale....

Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
 
Very seriously, hawa wachezaji tuliwanunua tukawauza kwa hasara. Sio jambo geni kwa Chelsea
  1. Fernando Torres
  2. Michy Batshuayi
  3. Juan Cuadrado
  4. Tiémoué Bakayoko
  5. Álvaro Morata
  6. Danny Drinkwater
  7. Kepa Arrizabalaga - Kakosa bei hata mil 30 tungemuuza
  8. Radamel Falcao
Mkuuu hapo tafadhali mtoe TORRES UMESHAU UCL 2012 A
au mkuuu ndio umeenza juzi kuwa fans wa Chelsea hebu jaribu kicheki goal lake lilikuwa na Vibe kubwa sana mkuu sorry kma nimekosea kukukosoa
 
Mdogo wangu Papaa ..Lukaku anakosa watu wa kumchezesha ..Kama alivyosema Antonio Conte. Lukaku no bonge la straika huwezi pata mtu Kama yule dunia ya Sasa..
Mnaanza kumtetea kiroba chenu, mnawapa wakina mount tu lawama za bure. Tulishasema hapa yule kiloba tumepgwa.
 
Mkuuu hapo tafadhali mtoe TORRES UMESHAU UCL 2012 A
au mkuuu ndio umeenza juzi kuwa fans wa Chelsea hebu jaribu kicheki goal lake lilikuwa na Vibe kubwa sana mkuu sorry kma nimekosea kukukosoa
Pamoja na kuitwa striker wa mechi kubwa kama hiyo ya nusu fainali dhidi ya Barcelona pia kwenye finali ya Europa mwaka uliofuatia lakini bado Torres yuko kwenye orodha ya wachezaji ghali walioflop hakufanya vitu alivyonunuliwa navyo hasa akiwa Liverpool
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom