Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

CONTE anaweza kuwa sahihi kwa aina ya wachezaji wanaomzunguka Lukaku. Uwezo/Ubunifu wao ni mdogo.

Nadhani tungekuwa na mchezaji mmoja tuu aina ya fabrigas, mwenye uwezo wa kupiga killer pass, lingekuwa suluhisho la upatikanaji wa magoli kule mbele.
.

--------------- Werner ----- Lukaku ------------------

Alonso ----- Fabrigas --- Kante ----- James

----------------------- Joginho ---------------------------

------ Rudger ---- Thiago ------ Azipi ------------
.
.
.

Mount je?

--------------- Werner ----- Lukaku ------------------

Alonso ----- Mount --- Kante ----- James

----------------------- Joginho ---------------------------

------ Rudger ---- Thiago ------ Azipi ------------
.
.

SAUL mhispania gani hajui kupiga pass za mwisho jameni?

--------------- Werner ----- Lukaku ------------------

Alonso ----- Saul --- Kante ----- James

----------------------- Joginho ---------------------------

------ Rudger ---- Thiago ------ Azipi ------------
Saul sio attacking midfielder, Saul ni box to box midfielder or dm, so ukisema umetegemee saul eti ndio akupe assist uko matatizoni

Saul ni kama wakina Rodri
 
Nyie mbwa ifike hatua mjue kuwa Chelsea ni timu ya kawaida ,hamna uwezo wa kufunga kila game

Jana mmeteseka Sana ,poleni kenge wa blue

Pumbavu!!!
 
Nyie mbwa ifike hatua mjue kuwa Chelsea ni timu ya kawaida ,hamna uwezo wa kufunga kila game

Jana mmeteseka Sana ,poleni kenge wa blue

Pumbavu!!!
Messi amecheza mechi kibao bila kufunga alikua anakusubili wewe mke wake akutoe bikra ya tako ,mchezaji wako wa million 100 anaekimbiakimbia uwanja wahuni wanamchakaza tuuu
20210930_095156.jpg
 
Kai
Werner
Ziyech
Mount ..

Hao wote viwango vimeshashuka,ila kwa vile nyie ni wavimba macho hamuoni ,mmeamua kukaza fuvu ..

Hao wanajificha kwenye kivuli cha viwango vya kina ngolo kante ,kovacic,chillwel jorgihno , Alonso na azpllicueta ...

Lukaku mnaenda kumkataa soon...
 
CONTE anaweza kuwa sahihi kwa aina ya wachezaji wanaomzunguka Lukaku. Uwezo/Ubunifu wao ni mdogo.

Nadhani tungekuwa na mchezaji mmoja tuu aina ya fabrigas, mwenye uwezo wa kupiga killer pass, lingekuwa suluhisho la upatikanaji wa magoli kule mbele.
.

--------------- Werner ----- Lukaku ------------------

Alonso ----- Fabrigas --- Kante ----- James

----------------------- Joginho ---------------------------

------ Rudger ---- Thiago ------ Azipi ------------
.
.
.

Mount je?

--------------- Werner ----- Lukaku ------------------

Alonso ----- Mount --- Kante ----- James

----------------------- Joginho ---------------------------

------ Rudger ---- Thiago ------ Azipi ------------
.
.

SAUL mhispania gani hajui kupiga pass jameni?

--------------- Werner ----- Lukaku ------------------

Alonso ----- Saul --- Kante ----- James

----------------------- Joginho ---------------------------

------ Rudger ---- Thiago ------ Azipi ------------
Pengo la fabregas msimu sijui WA ngapi huu
 
Wakuu hbr za leo wadau... Jamani Chelsea kwa sasa tumeanza kukumbwa na tatizo la wachezaji kuchoka. Ndio maana umeona wachezaji wameanza kukosa wepesi na uharaka.

Na ktk hilo TT ameliona na ndio sbbu unaona ata Jana alifanya sub za kuwapumzisha wale wenye uchovu na akawaingiza wengine ili kupata uzoefu wa big game!

Next game tutegemee kuona wachezaji wakiendelea kupumzishwa maana Chelsea ins fixtures ya michezo mingi sn kuliko timu zingine
 
Odoi naye apelekwe mkopo
Saul arudi kwao akacheze ligi ile legele
Havertz awe sub tu kwa sasa hata RLC anamzidi
Azpi, Kova na Jo wapumzishwe kuwaanzisha kila mechi wanachoka
Tumsajili kiungo mshambuliaji wa kusaidiana na Mount kwenye kumhudumia Lukaku na wafungaji wengine wa mbele
Enzi za Fab kila mtu mbele anakuwa mfungaji kwa sababu yake
Bado lakini tupo vizuri, group stage huwa haina mvuto tofauti na hatua za mtoano
Bado tuna mechi nne, tunao uwezo wa kumbamiza Juve darajani, Malmo ndani na nje na kutoa sare na Zenit, point 10 ziko mbele yetu na ukichanganya na 3 kibindoni zinakuwa 13 hapo tumeongoza kundi.
Biashara ndio inakwenda hivyo
 
Mpk sasa tunashindwa kucreate chance za kuscore kama last season still player bado hawajua jins ya kulink na lukaku.

Now team nyingi zitakuja zinasit deep na zinafunga njia zote, lazima tustruggle
Zenit walionesha ,now juve kitu kile kile,

Next game tuko na watakatifu(Saint/Southampton) jumamosi, tunahitaji kushinda hii game, tutegemee saint watakuja kucheza like walivyocheza na city
Hivi kwanini wachezaji wetu wasiwe wanajaribu mashuti ya mbali wakati mwingine?

Mpira wa Chelsea siku hizi hauna vionjo kabisa, yani Lukaku akikabwa basi wengine wote hawawezi kupiga mashuti ya mbali.

Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
 
Ata tufugwe goli 100 mm ni Chelsea damu na ninaipenda ki ukweli ukweli, hakuna alie nilazimisha ama kunishikia bunduki ili niipende hii klabu. Ni mapenzi yangu mwenyewe, ila Chelsea tuache masikhara kabisa. Januari inapaswa tuingie sokoni kusaka winga, tunakosa mawinga wa kuchekecha na kulazimisha beki za timu pinzani. Hivi Ziyech kawa vip jamani mbona simuelewi kabisa

Ila game ya jana Tuchel yeye ndio kazingua kabisa, muoga wa kufungwa anajaza mabeki kama wote
Kila siku unataka kuingia sokoni?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom