Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,365
- 21,743
Mnapigwa miti na vibibi vya Turin ...
Ana kweli Chelsea imetepeta ,kila mtu anapachika ukuni
Ana kweli Chelsea imetepeta ,kila mtu anapachika ukuni
Jna ulishinda hongera zako kwna we jana ulifungwa EPLMnapigwa miti na vibibi vya Turin ...
Ana kweli Chelsea imetepeta ,kila mtu anapachika ukuni
Uko sawa.... Hili kundi mpaka hapa limeshaanza kuwa gumu... Tunahitaji kushinda match 2 za malmo na moja ya Zenit, kinyume cha hapo tutauona moto.Ukweli ni kwamba Juventus walikua underdogs kwetu ,shida ya Chelsea ni kutengeneza nafasi za magoal
Yes leo shida ilikuwa mbele kule.Kuna mechi tuna mmiss Kate sio hii. Tatizo ni kucreate clear chance kitu ambacho hatuna huyo mtu kwa kweli
Wewe pimbi naona umepata adabu Sasa ,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Uko sawa.... Hili kundi mpaka hapa limeshaanza kuwa gumu... Tunahitaji kushinda match 2 za malmo na moja ya Zenit, kinyume cha hapo tutauona moto.
Kundi lako anapita club brugge na psg usije sema hukuambiwa.Wewe pimbi naona umepata adabu Sasa ,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Endelea kumuona..!Namuona Timo Warner akija kufungua pini za juve
Mpaka unafika menopause timu lako la 1B halina kikombe cha UEFAMnapigwa miti na vibibi vya Turin ...
Ana kweli Chelsea imetepeta ,kila mtu anapachika ukuni
Anakosa service, ukika kuangalia kunagap kubwa kati ya lukaku na our att midfider wanapokuwa uwanjan,Kivp?
Huyo Lukaku mnavyomuongelea utafikiri mchezaji kweli kumbe mavi matupu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mpk sasa tunashindwa kucreate chance za kuscore kama last season still player bado hawajua jins ya kulink na lukaku.
Now team nyingi zitakuja zinasit deep na zinafunga njia zote, lazima tustruggle
Zenit walionesha ,now juve kitu kile kile,
Next game tuko na watakatifu(Saint/Southampton) jumamosi, tunahitaji kushinda hii game, tutegemee saint watakuja kucheza like walivyocheza na city
Huwa mna kelele mno mkipgwa sawa sawa mfululizo itakua poa sana, kwanza OllaChuga Oc yupo wapi?
Ila tusijisahaulishe Lukaku sio big game player.pili Lukaku ni striker wa kukaa kwenye box na kusubiri mipira kwenye modern football mambo yanabadilika akina Mbape,Salah, Benzema wanafunga kwa kutanua uwanja kwanza kitu ambacho Werner anacho ila ana poor finish so nategemea kumuona Lukaku akistrugle especially kwa game ngumuMpk sasa tunashindwa kucreate chance za kuscore kama last season still player bado hawajua jins ya kulink na lukaku.
Now team nyingi zitakuja zinasit deep na zinafunga njia zote, lazima tustruggle
Zenit walionesha ,now juve kitu kile kile,
Next game tuko na watakatifu(Saint/Southampton) jumamosi, tunahitaji kushinda hii game, tutegemee saint watakuja kucheza like walivyocheza na city
Huyu OllaChuga Oc tumsubiri mpaka Chelsea ishinde ndo aje 😆Huwa mna kelele mno mkipgwa sawa sawa mfululizo itakua poa sana, kwanza OllaChuga Oc yupo wapi?
Wala hawakucheza mchezo wowote mzuri, sijui walituloga!!Hii mechi shida kante sababu hao Juventus hawana viungo wakutisha alikua anaitajika mchezaji wakuibomoa ile ngome kiungo mnyumburifu
Hilo leo halikuwepo kabisa utadhani vijana walikuwa kwenye mazoezo CobhamUkweli ni kwamba Juventus walikua underdogs kwetu ,shida ya Chelsea ni kutengeneza nafasi za magoal
Hii sio sababu kuu, player were very very passiveRefa alikuwa upande wao Juve, haiwezekani rafu zote walizowachezea wachezaji wa Chelsea lakini hawana kadi ya njano hata 1
Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app