Kamugy T
JF-Expert Member
- Sep 17, 2018
- 1,110
- 1,226
Pamoja na kupigwa £97mm za Rukaku bado unataka mrudi sokoni uwezi kuwa sirious
Ata tufugwe goli 100 mm ni Chelsea damu na ninaipenda ki ukweli ukweli, hakuna alie nilazimisha ama kunishikia bunduki ili niipende hii klabu. Ni mapenzi yangu mwenyewe, ila Chelsea tuache masikhara kabisa. Januari inapaswa tuingie sokoni kusaka winga, tunakosa mawinga wa kuchekecha na kulazimisha beki za timu pinzani. Hivi Ziyech kawa vip jamani mbona simuelewi kabisa
Ila game ya jana Tuchel yeye ndio kazingua kabisa, muoga wa kufungwa anajaza mabeki kama wote
