Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Umeona uchezaji wake au kwasababu hajafunga goli?

Tuliza wenge mkuu dogo kacheza vizuri. Movement yake ipo sawa kabisa.

Husipime ubora wa mchezaji kwa kufunga goli. Ingekuwa ivo basi wote wasiofunga magoli wasingekuwa wanacheza uwanjani
Unapoteza muda wako kumjibu huyo Ni dishi linaloyumba
 
Benchillwel Ni new Ashley Cole nimependa Sana leo Silva Kacheza no 5 badala ya no 4 aliyokuwa anapangwa na Lampard.I love partnership ya Silva na zouma.Niliwahi kusema hapa Mendy utakuwa Ni best usajili wa Chelsea kuliko zote now I see this Ni kipa mtulivu na ataokoa point nyingi Sana zetu.

Ushindi wetu Ni wa kumkaribisha the king himself Pulisic.
 
TAMI vs JOGI.jpg

Enyi Washabiki wa Chelsea na wale wa Man United! Siku Liverpool itakapopata neema ya Penalty basi nawaomba muwe Watulivu kama mulivyo kipindi hichi.

Zile kauli za kuwa tunabebwa kila inapotokea kuzawadiwa Penalty basi zisije zikaanza kuwa ndiyo Nyimbo yenu utadhani nyinyi hamupewi.

Penalty ni haki ya kila Timu kupewa pale madhambi yanapofanyika.

Asanteni.
 
Ulitaka tupewe huko nyuma kwako??
[emoji23] Sijawahi tukana mtu humu, labda nikuulize unajiweza! Usije omba poo... [emoji23] [emoji23] Maana wengine sio wa kutujia kichwa kichwa, nităkunyoosha.
 
Naona mancity kageuziwa kibao na Leeds wamethibitiwa hadi possession kwa 55%
 
Huyu Ben Chilwell sio yule wa Leicester City
Kakutana na Ashley Cole akamshauri kwa maneno mawili tu"WORK HARD"
Baada ya hapo tumtegemee Chilwell ambaye kazaliwa upya
Mashabiki wa Chelsea wataipenda hiyo

Chilwell reveals Chelsea great Cole told him to ‘die for the badge’ after sealing £50m move | Goal.com
[emoji2765] Lindelof aliambiwa pia hivi hivi na Vidic, 'hata kufa ufe mpira usikupite.'
[emoji2765] Mashabiki mkishinda huwa mnaongea kila kitu, ngoja mtandikwe sasa.
 
View attachment 1589348

Enyi Washabiki wa Chelsea na wale wa Man United! Siku Liverpool itakapopata neema ya Penalty basi nawaomba muwe Watulivu kama mulivyo kipindi hichi.

Zile kauli za kuwa tunabebwa kila inapotokea kuzawadiwa Penalty basi zisije zikaanza kuwa ndiyo Nyimbo yenu utadhani nyinyi hamupewi.

Penalty ni haki ya kila Timu kupewa pale madhambi yanapofanyika.

Asanteni.
Juzi milner kaunawa mpira ndani ya boksi kwa kutambaa nao, mambo ya anfield hayo, upewe nini tena!
 
Benchillwel Ni new Ashley Cole nimependa Sana leo Silva Kacheza no 5 badala ya no 4 aliyokuwa anapangwa na Lampard.I love partnership ya Silva na zouma.Niliwahi kusema hapa Mendy utakuwa Ni best usajili wa Chelsea kuliko zote now I see this Ni kipa mtulivu na ataokoa point nyingi Sana zetu.

Ushindi wetu Ni wa kumkaribisha the king himself Pulisic.

Kabisa mkuu. Naamini watu watatulimbia hapa leo sijamuona Aaroon na, will jr na mwenzake🤪🤪🤪
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom