ryana fan
JF-Expert Member
- Apr 27, 2018
- 2,632
- 3,063
Kai harvertz ni Nicolas Pepe wakizungu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umeona uchezaji wake au kwasababu hajafunga goli?
Tuliza wenge mkuu dogo kacheza vizuri. Movement yake ipo sawa kabisa.
Husipime ubora wa mchezaji kwa kufunga goli. Ingekuwa ivo basi wote wasiofunga magoli wasingekuwa wanacheza uwanjani