Return of pulisic, we win the game.Kesho tunashinda bila shida. Niliona game yao na Eveeton ni wagumu sana wanacheza kwa nguvu kutafuta matokeo, ila ubaya wao wanacheza kumtegemea mchezaji mmoja awape matokeo.
Westham bado wanakazakaza wanataka mpunga mrefu na Chelsea inashindwa kutoa pesa zaidi kwa sababu bado haijauza wachezaji.VP ishu na westham kuhusu declan rice
VP hili dili mnalionaje wanabluesWestham bado wanakazakaza wanataka mpunga mrefu na Chelsea inashindwa kutoa pesa zaidi kwa sababu bado haijauza wachezaji.
Nyinyi si mna pesa mobu? [emoji1787]Westham bado wanakazakaza wanataka mpunga mrefu na Chelsea inashindwa kutoa pesa zaidi kwa sababu bado haijauza wachezaji.
Kama itakua kweli basi tutakua tumepata chuma.VP hili dili mnalionaje wanabluesView attachment 1588812
Fainali ya mwaka jana alikuwepo Auba pia kilichotokea ball boys wa Baku wanakijuaHuyu alikuwepo siku ya fainali na kilichotokea kumbukumbu anazo mpiga pichaView attachment 1588853
Eeeh si ndio maana tumesajili Havertz, Ziyech, Werner, Mendy, na Sarr Au hujui hilo?Nyinyi si mna pesa mobu? [emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hawezi kuwa yeye bhana. Hiyo mishavu kama kameza mandazi mazima mazima.Mungu anawaona kwa kuwapiga hawa jamaaView attachment 1588869
Sure mkuuKama itakua kweli basi tutakua tumepata chuma.
Ni yeye...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hawezi kuwa yeye bhana. Hiyo mishavu kama kameza mandazi mazima mazima.
Lampard OutBinafsi siku zinapozidi kwenda ninakosa matumaini na kocha wetu Lampard anasema Ziyech hayupo fiti wakati team yake ya Taifa kaitwa.Hiv karibuni nimesikia taarifa eti odoi atatolewa kwa mkopo nikajiuliza ule uamuzi wa kuumuza Willian ulikuwa namaana gani? kwa kipindi hiki ambacho tuna injury Kama angekuwepo Willian angekuwa msaada kwetu.Leo hii Rudiger hata sub hamuweki Cha ajabu kwenye team yake ya Taifa (Ujerumani) anaanza kwenye first eleven Lampard hii team imemzidi uwezo.
lembu
Cash Money Forever
Southern Highland
shimba96
hazard Don
Ila mchezaji huyohuyō akienda Arsenal anakuwa plastikiKama itakua kweli basi tutakua tumepata chuma.