Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Mwambieni Tammy asilete utoto kwa kung'ang'ania penalti kama biskuti

'If Tammy wanted to take it and wants the goal, then he can get put in his place a little bit.
I appreciate his eagerness because his performance deserved a goal but those are the rules.

'You don’t jump the list at any moment unless someone is on a hat-trick.
We are so comfortable that I decide.'

Said Frank Lampard

View attachment 1589632
Huyu dogo bado utoto unamsumbua jumlisha pressure ya mashabiki na kutaka kuprove wrong watu.

Msimu uliopita kafunga zile goli 15 bila hata moja la penalty sasa sijui anaingiwa na ujinga gani kuanza kugombania kupiga penalty.
 
Samatta atupia magoli 2 na kuifanya Fenerbahce iongoze ligi ya Uturuki kwa pointi 8 baada ya mechi nne
Hii ni mechi yake ya kwanza tangu aihame Aston Villa kwa mkopo wa muda mrefu ambao unaweza kubadilishwa na kuwa usajili wa kudumu mwishoni mwa msimu
Ushindi huu umekuja baada ya Fenerbahce kufululiza droo mbili na kuamb ulia point 2 tu
View attachment 1589641
View attachment 1589640
Ni mechi yake ya pili, ya kwanza alicheza kutokea sub. Labda tuseme ya kwanza kuanza katika kikosi cha kwanza.
 
Ubebwaji unaoongelewa hapa ni namna penalty zinavyotokea na siyo tu kupata penalty.

Okay basi tufute penalty tufanye tumeshinda 2-0

Usikasirike, Hakuna Penalty unayozawadiwa kutoka Nyumbani.
Penalties zote hutokana na makosa.
Tatizo lipo pale kwenye kuyakubali makosa.
Kwa kumbukumbu za Misimu miwili iliyopita na huu ni wa tatu Mashabiki wa Chelsea na Manure hawajawahi kuikubali Penalty yoyote aliyopatiwa Liverpool.
Hii inamana Misimu mitatu sasa Liverpool hakuwa na haki ya kupatiwa Penalty hata moja.

Hata hivyo Mimi sijakosoa Penalty zenu za Jana! Bali nimetoa angalizo tu kuwa hata nasisi tunaweza kupata ila isiwe nongwa tu.
 
Ingawa ni shabiki wa Chelsea, ila sijawahi kuziamini falsafa za Mwana Chelsea mwenzetu Frank Lampald.

Timu imekua nyanya kwa vigogo, huku ikibahatisha ushindi kwa timu ndogo. Kiufupi haina tofauti na timu yangu ya Yanga kwa namna inavyotumia nguvu kubwa kupata ushindi tofauti na wenzetu wa mikia/mbumbumbu fc.
 
Huyu dogo bado utoto unamsumbua jumlisha pressure ya mashabiki na kutaka kuprove wrong watu.

Msimu uliopita kafunga zile goli 15 bila hata moja la penalty sasa sijui anaingiwa na ujinga gani kuanza kugombania kupiga penalty.
Nilijua hivyo ila kiswahili kigumu mkuu
Kizungu wanasema ni game lake la kwanza kwenye "Full Debut" sasa ukija huku kwetu tunasemaje vile
 
Kikosi cha Chelsea kutoka bara la Africa
Asume wote wangekuwepo kwenye rika moja la sasa hivi na wako kwenye ubora wako kama akina Etoo, Weah, Drogba, Esien, Babayaro, Desailly, Geremi na wengineo je unafikiri hawa jamaa wangeweza kubeba ndoo ya EPL?
1601800553437.png

Subs: Aina, Rahman, Moses, Traore, Ba, Salah, Ziyech.
 
View attachment 1589800
Subs: Aina, Rahman, Moses, Traore, Ba, Salah, Ziyech.

Desaily mbona alikuwa Mfaransa?

Alikuwa kama Zidane tu kwamba asili yake ndiyo Afrika.
 
Ingawa ni shabiki wa Chelsea, ila sijawahi kuziamini falsafa za Mwana Chelsea mwenzetu Frank Lampald.

Timu imekua nyanya kwa vigogo, huku ikibahatisha ushindi kwa timu ndogo. Kiufupi haina tofauti na timu yangu ya Yanga kwa namna inavyotumia nguvu kubwa kupata ushindi tofauti na wenzetu wa mikia/mbumbumbu fc.
Tate Mkuu Si kwasababu baadhi ya wachezaji wapo injury na langoni kuwa Kepa ila Sasa hivi wachezaji washaanza kupona na tumempa Mendy
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom