Mwaka Huu kazi tunayo.Timo naye kaongezwa kwenye orodha ya majeruhi!!!

Wewe nani?
Tunastahili kufanya vizuri kwa kadri muda unavyokwenda na siyo mnavyohitaji nyinyi. Mkuu tuna improve sanaAll in all, kwa usajili uliofanywa na Chelsea wanapaswa kufanya vizuri zaidi katika mechi zijazo.
HalisiMalafyale vipi wale waliokuwa wakisema Klopp Out! bado wana maoni hayo hayo kwa sasa kwa sababu nakumbuka wewe ulikuwa na maoni ya kumpa Klopp muda wa kuijenga timu mpaka mkaunda Liverpool asili bali wenzako akina King Ngwaba wao walitaka matokeo ya haraka wakaanzisha movement ya Klopp Out!
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]wapi King Ngwaba
Malafyale vipi wale waliokuwa wakisema Klopp Out! bado wana maoni hayo hayo kwa sasa kwa sababu nakumbuka wewe ulikuwa na maoni ya kumpa Klopp muda wa kuijenga timu mpaka mkaunda Liverpool asili bali wenzako akina King Ngwaba wao walitaka matokeo ya haraka wakaanzisha movement ya Klopp Out!
Sema mwanangu huyu Mendy ni bonge la kipa. Maana kuna saves anafanya mpaka unajiuliza alikua wapi wakati tunamsajili Keppa.
Malyafale ataleta ushahidi. Kama sio wewe ni mwaswahiba wako walisema hivyo tena issue kubwa Klopp alikuwa akiwapendelea waingerezaWewe Jamaa lembu nilikuwa ninakuamini sana lakini Kumbe ni Muongo na Mzushi.
Mimi sijawahi kuanzisha wala kushiriki Movement ya #KLOPPOUT. Kwahili niombe radhi.
Mashabiki wa Liverpool wako makini na wanachokiona! Kwenye Uzi wetu wa Liverpool tokea nijiunge Sijawahi kuona Movement ya KLOPPOUT.
Mimi mwenyewe binafsi ni Mkosoaji Mkubwa wa Klopp ambapo tupo wengi sana lakini tulimvumilia na tukawa tunakosoa sera zake tu! Hii habari ya KLOPPOUT haikuwahi kuibuka kwenye Uzi wetu Kwani tulijua kuwa ni Kocha bora ila haikuwa na Wachezaji.
Nenda Kafukue makaburi kama utakuta post yoyote kwenye Uzi wetu ya Mshabiki wa Liverpool iliyowahi kusema KLOPPOUT.
Malyafale ataleta ushahidi. Kama sio wewe ni mwaswahiba wako walisema hivyo tena issue kubwa Klopp alikuwa akiwapendelea waingereza
Wewe Jamaa lembu nilikuwa ninakuamini sana lakini Kumbe ni Muongo na Mzushi.
Mimi sijawahi kuanzisha wala kushiriki Movement ya #KLOPPOUT. Kwahili niombe radhi.
Mashabiki wa Liverpool wako makini na wanachokiona! Kwenye Uzi wetu wa Liverpool tokea nijiunge Sijawahi kuona Movement ya KLOPPOUT.
Mimi mwenyewe binafsi ni Mkosoaji Mkubwa wa Klopp ambapo tupo wengi sana lakini tulimvumilia na tukawa tunakosoa sera zake tu! Hii habari ya KLOPPOUT haikuwahi kuibuka kwenye Uzi wetu Kwani tulijua kuwa ni Kocha bora ila haikuwa na Wachezaji.
Nenda Kafukue makaburi kama utakuta post yoyote kwenye Uzi wetu ya Mshabiki wa Liverpool iliyowahi kusema KLOPPOUT.
Hakuna mwenye uwezo wa kuleta ushahidi huo kwasababu Teknolojia Haidanganyi.
Waliomkosoa Klopp kipindi anakumbatia Waingereza kupitia Propaganda za LiverpoolEcho hawakuwahi kusema KloppOut.
Klopp ni kocha ambaye hakuwahi kukataliwa na Washabiki wa Liverpool.
Huyo nae kimeo wakati mwingine. Mi mwenyewe nakumbuka sana kipindi kile. Jamaa hoja zake zinafuatana na upepo unavyoenda.HII NDIO ILIYONIKASIRISHA NIKAAMUA KUFUKUA MAKABURI
"Klopp ni kocha ambaye hakuwahi kukataliwa na Washabiki wa Liverpool."
KWELI TECHNOLOJIA HAIDANGANYI, NITAWALETEA YOTE MLIYOONGEA KWA HASIRA MKAWA MNAPINGANA NA KUNDI LA AKINA MALAFYALE WAZIWAZI MKITAKA KLOPP AFUKUZWE KWA SABABU AMESHINDWA KUISUKA DEFENSE YA LIVERPOOL
WEWE NI MWONGO KWENDA MBELE WALA HUONI AIBU. ULE MJADALA WA MSIMU WA 2017/18 MPAKA WEWE NA M-MBABE MKAWEKA HASHTAG YA KLOPPOUT UMESHASAHAU KWA SABABU KLOPP KAWABEBESHA UEFA NA EPL KWELI!!
NITAKUWEKEA YOTE HAPA ILI UKUMBUKE NA HAO MASWAHIBA WAKO MLIOKUWA MNATAKA KLOPP AFUKUZWE
UKIBISHA NA HIZI NITAFUKUA ZOTE NIWAPELEKEE KULE KULE KWENUI ILI WENZAKO WAKAKUUMBUE ZAIDI
KWANZA HIYO HASHTAG YA KLOPP OUT ULIITOA LINI?View attachment 1586413
View attachment 1586412
[emoji119][emoji119]HII NDIO ILIYONIKASIRISHA NIKAAMUA KUFUKUA MAKABURI

Jamaa bado yupo mafichoni[emoji1787]HII NDIO ILIYONIKASIRISHA NIKAAMUA KUFUKUA MAKABURI
"Klopp ni kocha ambaye hakuwahi kukataliwa na Washabiki wa Liverpool."
KWELI TECHNOLOJIA HAIDANGANYI, NITAWALETEA YOTE MLIYOONGEA KWA HASIRA MKAWA MNAPINGANA NA KUNDI LA AKINA MALAFYALE WAZIWAZI MKITAKA KLOPP AFUKUZWE KWA SABABU AMESHINDWA KUISUKA DEFENSE YA LIVERPOOL
WEWE NI MWONGO KWENDA MBELE WALA HUONI AIBU. ULE MJADALA WA MSIMU WA 2017/18 MPAKA WEWE NA M-MBABE MKAWEKA HASHTAG YA KLOPPOUT UMESHASAHAU KWA SABABU KLOPP KAWABEBESHA UEFA NA EPL KWELI!!
NITAKUWEKEA YOTE HAPA ILI UKUMBUKE NA HAO MASWAHIBA WAKO MLIOKUWA MNATAKA KLOPP AFUKUZWE
UKIBISHA NA HIZI NITAFUKUA ZOTE NIWAPELEKEE KULE KULE KWENUI ILI WENZAKO WAKAKUUMBUE ZAIDI
KWANZA HIYO HASHTAG YA KLOPP OUT ULIITOA LINI?View attachment 1586413
View attachment 1586412
View attachment 1586506