Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea wako tayari kumtoa Rudiger na RLC kwa Westham ili watupe Declan Rice kwa bei punguzo kutoka Paundi Mil 73, Mashabiki wenzangu mnasemaje hapo, Deal linafaa halifai?
Linalipa halilipi?

"Chelsea are reportedly ready to offer them the chance to sign Rudiger permanently, as well as fellow target Ruben Loftus-Cheek, in return for Rice"
 
Kea Rudiger hapana labda kwa RLC
 
Chelsea vs Crystal Palace Predicted Line Up
1601719516524.png
 
Binafsi siku zinapozidi kwenda ninakosa matumaini na kocha wetu Lampard anasema Ziyech hayupo fiti wakati team yake ya Taifa kaitwa.Hiv karibuni nimesikia taarifa eti odoi atatolewa kwa mkopo nikajiuliza ule uamuzi wa kuumuza Willian ulikuwa namaana gani? kwa kipindi hiki ambacho tuna injury Kama angekuwepo Willian angekuwa msaada kwetu.Leo hii Rudiger hata sub hamuweki Cha ajabu kwenye team yake ya Taifa (Ujerumani) anaanza kwenye first eleven Lampard hii team imemzidi uwezo.
lembu
Cash Money Forever
Southern Highland
shimba96
hazard Don
Taarifa za odoi bayern wanamtaka ila lampard anamtaka aendelee kuwepo

Ziyech nilisema nyuma tutegemee kumuona baada ya international break
 
Ni yeye...

Kikosi chenu kikiwa cha kumuacha odoi na pulisic nje kama lampard alivyosema mjiandae.

Na akirudia mchezo wa kumuweka werner kama LWF mjiandae pia.

Yule beki wenu James kwa mitungi anayopiga ilibidi Giroud awepo jamaa anajua kupiga cross vibaya mno ila skills za kupangua watu zinamshinda.
Shida inakuja ni aina ya uchezaji wa Lampard. Amefocus tucheze kwa kushambulia wakati kuna mistakes nyingi katika ukabaji. Huwezi ukatoka kukimbiza mwizi wakati nyumbani kwako umeacha mlango wazi. Mabeki wapo ila kunakosekana link na viungo ndio maana ikipigwa counter 70% ni goli.

Hawa CP leo wanaweza kukaa shida inakuja approach ya kocha.
 
Binafsi siku zinapozidi kwenda ninakosa matumaini na kocha wetu Lampard anasema Ziyech hayupo fiti wakati team yake ya Taifa kaitwa.Hiv karibuni nimesikia taarifa eti odoi atatolewa kwa mkopo nikajiuliza ule uamuzi wa kuumuza Willian ulikuwa namaana gani? kwa kipindi hiki ambacho tuna injury Kama angekuwepo Willian angekuwa msaada kwetu.Leo hii Rudiger hata sub hamuweki Cha ajabu kwenye team yake ya Taifa (Ujerumani) anaanza kwenye first eleven Lampard hii team imemzidi uwezo.
lembu
Cash Money Forever
Southern Highland
shimba96
hazard Don
Hiyo siyo shida. Shida ipo jinsi tunavyocheza hapo ndipo nashindwa kumuelewa. Hebu jaribuni kufuatilia game ya leo mtaona wenyewe.
 
Ila mchezaji huyohuyō akienda Arsenal anakuwa plastiki
Kama kumbukumbu zako ziko vizuri nilisema hukohuko kwenye jukwaa lenu. Kama mtasajili hao wqchezaji mtakua mmepata watu wa maana sana.

Statement nyingine niliyowahi kusema ni Partey ni CL player, nikasema Arsenal atakuja lakini kwa mchezaji kama yule anastahili kucheza Champions League.
 
Chelsea wako tayari kumtoa Rudiger na RLC kwa Westham ili watupe Declan Rice kwa bei punguzo kutoka Paundi Mil 73, Mashabiki wenzangu mnasemaje hapo, Deal linafaa halifai?
Linalipa halilipi?

"Chelsea are reportedly ready to offer them the chance to sign Rudiger permanently, as well as fellow target Ruben Loftus-Cheek, in return for Rice"
Hapo bora tumtoe Rudiger kwa mkopo halafu tuwape RLC na pesa au vice versa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom