Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hii timu ikimaliza ligi hata nafasi ya 5 itakuwa ni bahati
 
Hii timu ikimaliza ligi hata nafasi ya 5 itakuwa ni bahati
Mkuu hawa na Pundamilia Fc tulishawapa taarifa kuwa waanze kujiandaa na msimu ujao wa 2021/2022. Msimu huu ndio umeshamalizika kwao.

#COYG
#COYG
 
Werner ni Morata wa kijerumani [emoji23][emoji23]
 
Tumewalipia deni manyumbu sasa tuanze kutafuta yetu sasa
[emoji28][emoji460][emoji460][emoji460]
 
Hii team inabebwa sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom