Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Benchillwel Ni new Ashley Cole nimependa Sana leo Silva Kacheza no 5 badala ya no 4 aliyokuwa anapangwa na Lampard.I love partnership ya Silva na zouma.Niliwahi kusema hapa Mendy utakuwa Ni best usajili wa Chelsea kuliko zote now I see this Ni kipa mtulivu na ataokoa point nyingi Sana zetu.


Ushindi wetu Ni wa kumkaribisha the king himself Pulisic.
Sajili zote nzuri sana, nilihofia usajili wa Ben Chilwell ila nakuambia wote watano
  1. Ziyech
  2. Timo
  3. Kai
  4. Mendy
  5. Silva
Watatupa Raha hasa wakishapona wote akiwemo Bill Gilmour
 
View attachment 1589348

Enyi Washabiki wa Chelsea na wale wa Man United! Siku Liverpool itakapopata neema ya Penalty basi nawaomba muwe Watulivu kama mulivyo kipindi hichi.

Zile kauli za kuwa tunabebwa kila inapotokea kuzawadiwa Penalty basi zisije zikaanza kuwa ndiyo Nyimbo yenu utadhani nyinyi hamupewi.

Penalty ni haki ya kila Timu kupewa pale madhambi yanapofanyika.

Asanteni.
Ubebwaji unaoongelewa hapa ni namna penalty zinavyotokea na siyo tu kupata penalty.

Okay basi tufute penalty tufanye tumeshinda 2-0
 
Tammy Abragham angetumia ule mwanya Pulisic yuko majeruhi kuonyesha kuwa anaweza kuvaa hivyo viatu vya na. 9 lakini kashindwa
Pulisic kasharudi na mechi ijayo tutegemee Pulisic kuanza na Werner kucheza na. 9. Tammy atabaki kuwa sub na ligi za mbuzi
Pulisic ni next level ile.
 
FL akiri majeruhi imemlazimisha kuwachezesha Kai na Timo kwenye nafasi ambazo sio zao
Timo alitakiwa acheze kama striker na Havertz kama CAM
Hata hivyo majeruhi ya Ziyech na Pulisic imelazimu Lampard kumchezesha Timo kwenye nafasi ya Pulisic na Haverts kwenye nafasi ya ZIyech
Wakirudi hao majeruhi tutategemea Pulisic arudi kwenye LW, Timo striker, Ziyech RW na hapo ndipoo ngoma itanoga
Wanaoibeza Chelsea nawashauri waweke AKIBA ya MANENO.
 
Kwa jinsi Man City anavyo struggle kupata matokeo inampa urahisi Liver kuendelea kujitengenezea njia nyepesi kwenye ligi.

Asee mpira ni kazi ngumu sana
Man City wana shida kubwa kwenye Defense kuliko hata Chelsea
Wamemnunua Ake lakini ameshindwa kuziba ufa, tena wamvunja akaunti ya benki kumnunua Dias naona bado hajazoea labda
Mancity wametumia mpaka sasa zaidi ya paundi milioni 421 kutengeneza safu ya ulinzi tangu PEP aje 2016 akaipatia kidogo 2017/18, 2018/19 hadi wakachukua ubingwa. Sasa beki imeanza kuleak tena na mwaka huu watakuwa na kazi kweli kweli mbele ya timu kama Liverpool, Leeds, Chelsea, Arsenal, Leicester, Everton, Spurs, SIJUI KAMA WATACHOMOA
 
Kwa jinsi Man City anavyo struggle kupata matokeo inampa urahisi Liver kuendelea kujitengenezea njia nyepesi kwenye ligi.

Asee mpira ni kazi ngumu sana
Ndio maana wasela wanalipwa mipunga mirefu sana maana ni shughuli ngumu ile aise(Akili + Nguvu+pesa) vyote vinatumika ukiacha kimoja unakwenda na maji .
 
Man City wana shida kubwa kwenye Defense kuliko hata Chelsea
Wamemnunua Ake lakini ameshindwa kuziba ufa, tena wamvunja akaunti ya benki kumnunua Dias naona bado hajazoea labda
Mancity wametumia mpaka sasa zaidi ya paundi milioni 421 kutengeneza safu ya ulinzi tangu PEP aje 2016 akaipatia kidogo 2017/18, 2018/19 hadi wakachukua ubingwa. Sasa beki imeanza kuleak tena na mwaka huu watakuwa na kazi kweli kweli mbele ya timu kama Liverpool, Leeds, Chelsea, Arsenal, Leicester, Everton, Spurs, SIJUI KAMA WATACHOMOA
Sasa ndio naanza kuamini kompany alikua nguzo kubwa sana pale nyuma. Kama sisi tunavyo hangaika toka Terry aondoke, Man U kina Vidic na Ferdinand, atleast Livet ka settle na VVD.

Ila kama ukifanikiwa kutengeneza defense nzuri unanafasi kubwa kuchukua ubingwa.
 
CHELSEA 4-0 CRYSTAL PALACE, Premier League: Post-match reaction

By Mr blue

Siku nzuri kwa Ben Chilwell pamoja na Kurt Zouma bila kumsahau Jorge Luiz Frello Filho pamoja na Jeshi zima la Chelsea fc. Nianze kwa kuwakumbusha wapinzani wetu kuwa, Ben Chillwell ndo kwanza anaumri wa miaka 23. Yani ndo kwanza anaanza[emoji16]

Kai Lukas Havertz huyu ndo real No.10. Dah[emoji847] hii style yake ya uchezaji inavutia mno.

Okay, match ilianza ikiwa na delay ya dakika kibao kutokana na Crystal Palace kuchelewa kutoka kwenye dressing room. Crystal Palace walikuwa wagumu sana kipindi cha kwanza wakicheza defensive zaidi. Chelsea ilikuwa juu upande wa possession pamoja na shots kadhaa kabla ya kwenda mapumziko.

Wakitumia mipira ya counter attack, Chelsea ikiongonzwa na Miamba wanne, chini ya Mikopo safi ya César Azpilicueta, Kurt Happy Zouma, Tiago Silva pamoja na Man of the match Ben Chilwell certainly been a familiar sight for Chelsea, but on the plus side, tulifanikiwa kuzizima zile counter threat na kumuweka mfukoni Zaha dakika zote za mchezo.

Chelsea tulirejea na purpose kubwa katika second half, na hatukukawia sana kuzichana nyavu mara baada ya Callum Hudson-Odoi kumnyang'anya mpira Sakho na kumtengea Ben Chilwell aliyefanya mauwaji ya kimbari dakika ya 50.

Chelsea iliongeza pressure na kufanya mashambulizi kupitia mipira ya pembeni. Alikuwa Kurt Happy Zouma dakika ya 60 aliyefunga bao safi kwa kichwa kutokana pasi safi kutoka kwa Ben Chilwell na kumuacha Guaita asijuwe la kufanya.

Crystal Palace waliamka na kutaka kujitetea, but Chelsea iliwakandamiza bao la tatu dakika ya 79 kwa Njia ya Penalty iliyofungwa na Jorge Luiz Frello Filho mara baada ya Tammy Abraham kuchezewa visivyo.

Haikuchukuwa muda kabla ya Jorge Luiz Frello Filho kutunyanyua tena dakika ya 82 alipofunga Penalty nyingine mara baada ya Kai Lukas Havertz kuangushwa ndani ya penalty box.

FB_IMG_1601772256615.jpg
 
Mwambieni Tammy asilete utoto kwa kung'ang'ania penalti kama biskuti

'If Tammy wanted to take it and wants the goal, then he can get put in his place a little bit.
I appreciate his eagerness because his performance deserved a goal but those are the rules.

'You don’t jump the list at any moment unless someone is on a hat-trick.
We are so comfortable that I decide.'

Said Frank Lampard



1601782242492.png
 
Samatta atupia magoli 2 na kuifanya Fenerbahce iongoze ligi ya Uturuki kwa pointi 8 baada ya mechi nne
Hii ni mechi yake ya kwanza tangu aihame Aston Villa kwa mkopo wa muda mrefu ambao unaweza kubadilishwa na kuwa usajili wa kudumu mwishoni mwa msimu
Ushindi huu umekuja baada ya Fenerbahce kufululiza droo mbili na kuamb ulia point 2 tu
1601783806200.png

1601783499999.png
 
Sajili zote nzuri sana, nilihofia usajili wa Ben Chilwell ila nakuambia wote watano
  1. Ziyech
  2. Timo
  3. Kai
  4. Mendy
  5. Silva
Watatupa Raha hasa wakishapona wote akiwemo Bill Gilmour
lembu sijamaanisha usajili wa wachezaji wengine Ni mbovu la hasha! Bali point yangu kuu Ni kwamba usajili wa Mendy tumeziba nyufa kwenye sehemu muhimu ndio maana I called best signing
 
[emoji2765] Lindelof aliambiwa pia hivi hivi na Vidic, 'hata kufa ufe mpira usikupite.'
[emoji2765] Mashabiki mkishinda huwa mnaongea kila kitu, ngoja mtandikwe sasa.
Kwa hiyo sasa wewe unatakaje?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom