Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hapa umenitag bure tu lakini sikuwahi kusema KLOPPOUT na nakuruhusu ufukuwe makaburi kuanzia tokea siku niliyojiunga JF kama utakuta Post yangu niliyosema KloppOut.

Ila nakubali kuwa sio leo tu, Bali mpaka Kesho na mwakani Mimi ndiye ninayeoongoza Kikosi cha kumlaumu na hata kumkosoa Klopp kwa baadhi ya Maamuzi na Misimamo yake.

Lakini kuhusu suala la kuondoka ilo hapana! Hata nimtukane vipi lakini awepo tu.
Ndio maana nimeshangaa kutajwa kuwa ulikuwa kwenye movement ya Klopp out ,
 
Hahaha
JamiiForums-890002866.jpg
 
Chelsea 'face paying Kepa £5m to sit on bench' as no-one will even take flop keeper on loan
 
HII NDIO ILIYONIKASIRISHA NIKAAMUA KUFUKUA MAKABURI
"Klopp ni kocha ambaye hakuwahi kukataliwa na Washabiki wa Liverpool."

KWELI TECHNOLOJIA HAIDANGANYI, NITAWALETEA YOTE MLIYOONGEA KWA HASIRA MKAWA MNAPINGANA NA KUNDI LA AKINA MALAFYALE WAZIWAZI MKITAKA KLOPP AFUKUZWE KWA SABABU AMESHINDWA KUISUKA DEFENSE YA LIVERPOOL

WEWE NI MWONGO KWENDA MBELE WALA HUONI AIBU. ULE MJADALA WA MSIMU WA 2017/18 MPAKA WEWE NA M-MBABE MKAWEKA HASHTAG YA KLOPPOUT UMESHASAHAU KWA SABABU KLOPP KAWABEBESHA UEFA NA EPL KWELI!!
NITAKUWEKEA YOTE HAPA ILI UKUMBUKE NA HAO MASWAHIBA WAKO MLIOKUWA MNATAKA KLOPP AFUKUZWE
UKIBISHA NA HIZI NITAFUKUA ZOTE NIWAPELEKEE KULE KULE KWENUI ILI WENZAKO WAKAKUUMBUE ZAIDI

KWANZA HIYO HASHTAG YA KLOPP OUT ULIITOA LINI?View attachment 1586413

View attachment 1586412
View attachment 1586506

Kama hizo posts ni zangu basi nakubaliana na kila ulichokileta huenda nimesahau kwasababu ni za zamani.
Nakubali matokea na samahani kwa kukubishia.

Nahitaji msaada: Nifundishe namna ya kuzitafuta ili nifute kauli yangu.

Kufuta kauli kwa kosa ulilolifanya ni sehemu ya Uungwana.
 
Huyo nae kimeo wakati mwingine. Mi mwenyewe nakumbuka sana kipindi kile. Jamaa hoja zake zinafuatana na upepo unavyoenda.

Linapokuja suala la mpira kwani nani asiyefuatana na upepo unapoenda?

Upepo ulielekezwa kwa Conte baadae nini kilijiri?

Upepo ulielekezwa kwa Unai baadae nini kilijiri?

Na kwa huyu Lampard nakupa misimu miwili tu mbele utaona nini kitafuata.

Arteta its OK
 
HII NDIO ILIYONIKASIRISHA NIKAAMUA KUFUKUA MAKABURI
"Klopp ni kocha ambaye hakuwahi kukataliwa na Washabiki wa Liverpool."

KWELI TECHNOLOJIA HAIDANGANYI, NITAWALETEA YOTE MLIYOONGEA KWA HASIRA MKAWA MNAPINGANA NA KUNDI LA AKINA MALAFYALE WAZIWAZI MKITAKA KLOPP AFUKUZWE KWA SABABU AMESHINDWA KUISUKA DEFENSE YA LIVERPOOL

WEWE NI MWONGO KWENDA MBELE WALA HUONI AIBU. ULE MJADALA WA MSIMU WA 2017/18 MPAKA WEWE NA M-MBABE MKAWEKA HASHTAG YA KLOPPOUT UMESHASAHAU KWA SABABU KLOPP KAWABEBESHA UEFA NA EPL KWELI!!
NITAKUWEKEA YOTE HAPA ILI UKUMBUKE NA HAO MASWAHIBA WAKO MLIOKUWA MNATAKA KLOPP AFUKUZWE
UKIBISHA NA HIZI NITAFUKUA ZOTE NIWAPELEKEE KULE KULE KWENUI ILI WENZAKO WAKAKUUMBUE ZAIDI

KWANZA HIYO HASHTAG YA KLOPP OUT ULIITOA LINI?View attachment 1586413

View attachment 1586412
View attachment 1586506
Imebidi nikupe like

Plastic fans kama hawa ni kuwaumbua tu
 
Hakuna mwenye uwezo wa kuleta ushahidi huo kwasababu Teknolojia Haidanganyi.
Waliomkosoa Klopp kipindi anakumbatia Waingereza kupitia Propaganda za LiverpoolEcho hawakuwahi kusema KloppOut.

Klopp ni kocha ambaye hakuwahi kukataliwa na Washabiki wa Liverpool.
hahaha... Vipi hapo??? Acha ndimi mbili
 
HII NDIO ILIYONIKASIRISHA NIKAAMUA KUFUKUA MAKABURI
"Klopp ni kocha ambaye hakuwahi kukataliwa na Washabiki wa Liverpool."

KWELI TECHNOLOJIA HAIDANGANYI, NITAWALETEA YOTE MLIYOONGEA KWA HASIRA MKAWA MNAPINGANA NA KUNDI LA AKINA MALAFYALE WAZIWAZI MKITAKA KLOPP AFUKUZWE KWA SABABU AMESHINDWA KUISUKA DEFENSE YA LIVERPOOL

WEWE NI MWONGO KWENDA MBELE WALA HUONI AIBU. ULE MJADALA WA MSIMU WA 2017/18 MPAKA WEWE NA M-MBABE MKAWEKA HASHTAG YA KLOPPOUT UMESHASAHAU KWA SABABU KLOPP KAWABEBESHA UEFA NA EPL KWELI!!
NITAKUWEKEA YOTE HAPA ILI UKUMBUKE NA HAO MASWAHIBA WAKO MLIOKUWA MNATAKA KLOPP AFUKUZWE
UKIBISHA NA HIZI NITAFUKUA ZOTE NIWAPELEKEE KULE KULE KWENUI ILI WENZAKO WAKAKUUMBUE ZAIDI

KWANZA HIYO HASHTAG YA KLOPP OUT ULIITOA LINI?View attachment 1586413

View attachment 1586412
View attachment 1586506
Safi sana lembu kwa kuweka mambo hadharani
 
Mzee baba umeamua kumuweka uchi kabisa jamaa 🤣🤣🤣
 
Kama hizo posts ni zangu basi nakubaliana na kila ulichokileta huenda nimesahau kwasababu ni za zamani.
Nakubali matokea na samahani kwa kukubishia.

Nahitaji msaada: Nifundishe namna ya kuzitafuta ili nifute kauli yangu.

Kufuta kauli kwa kosa ulilolifanya ni sehemu ya Uungwana.
Aaaaahhhh Ngwaba eeeh umewahi kunyoosha mikono juu, ilitakiwa yeye ndio aanze kututhibitishia hapa kamă ni yeye au? [emoji23][emoji23]
Screenshot_20200916-103641.jpg
 
Imebidi nikupe like

Plastic fans kama hawa ni kuwaumbua tu

Plastic Fan? Yani wewe hufikii hata nusu ya Ushabiki wangu.
Kama wewe ni mshabiki wa Chelsea basi nina uhakika ulitokea Arsenal au Manure.
 
HII NDIO ILIYONIKASIRISHA NIKAAMUA KUFUKUA MAKABURI
"Klopp ni kocha ambaye hakuwahi kukataliwa na Washabiki wa Liverpool."

KWELI TECHNOLOJIA HAIDANGANYI, NITAWALETEA YOTE MLIYOONGEA KWA HASIRA MKAWA MNAPINGANA NA KUNDI LA AKINA MALAFYALE WAZIWAZI MKITAKA KLOPP AFUKUZWE KWA SABABU AMESHINDWA KUISUKA DEFENSE YA LIVERPOOL

WEWE NI MWONGO KWENDA MBELE WALA HUONI AIBU. ULE MJADALA WA MSIMU WA 2017/18 MPAKA WEWE NA M-MBABE MKAWEKA HASHTAG YA KLOPPOUT UMESHASAHAU KWA SABABU KLOPP KAWABEBESHA UEFA NA EPL KWELI!!
NITAKUWEKEA YOTE HAPA ILI UKUMBUKE NA HAO MASWAHIBA WAKO MLIOKUWA MNATAKA KLOPP AFUKUZWE
UKIBISHA NA HIZI NITAFUKUA ZOTE NIWAPELEKEE KULE KULE KWENUI ILI WENZAKO WAKAKUUMBUE ZAIDI

KWANZA HIYO HASHTAG YA KLOPP OUT ULIITOA LINI?View attachment 1586413

View attachment 1586412
View attachment 1586506
Piga spanaaa
 
Sijawahi kukuvunjia Heshima wewe wala mshabiki yoyote wa Chelsea.

Ninamuheshimu kila Mtu.

Tafadhali Jiheshimu ili ufiche udhaifu wako.
Wewe ndugu unapenda kusema uongo eti hujawahi mvunjia heshima shabiki yoyote wa Chelsea na bado hapo hapo unafanya haya. Utasema ni utani ila kwa mwanaume kuwekwa kwenye kundi la wanawake ni dharau kubwa sana labda wewe unaweza kufurahia ila mimi umenikwaza.
Sisi Liverpool tunamtaka kwa ajili ya Backup kwenye Timu ya Wanawake Liverpool Ladies FC.
 
HII NDIO ILIYONIKASIRISHA NIKAAMUA KUFUKUA MAKABURI
"Klopp ni kocha ambaye hakuwahi kukataliwa na Washabiki wa Liverpool."

KWELI TECHNOLOJIA HAIDANGANYI, NITAWALETEA YOTE MLIYOONGEA KWA HASIRA MKAWA MNAPINGANA NA KUNDI LA AKINA MALAFYALE WAZIWAZI MKITAKA KLOPP AFUKUZWE KWA SABABU AMESHINDWA KUISUKA DEFENSE YA LIVERPOOL

WEWE NI MWONGO KWENDA MBELE WALA HUONI AIBU. ULE MJADALA WA MSIMU WA 2017/18 MPAKA WEWE NA M-MBABE MKAWEKA HASHTAG YA KLOPPOUT UMESHASAHAU KWA SABABU KLOPP KAWABEBESHA UEFA NA EPL KWELI!!
NITAKUWEKEA YOTE HAPA ILI UKUMBUKE NA HAO MASWAHIBA WAKO MLIOKUWA MNATAKA KLOPP AFUKUZWE
UKIBISHA NA HIZI NITAFUKUA ZOTE NIWAPELEKEE KULE KULE KWENUI ILI WENZAKO WAKAKUUMBUE ZAIDI

KWANZA HIYO HASHTAG YA KLOPP OUT ULIITOA LINI?View attachment 1586413

View attachment 1586412
View attachment 1586506
Kaka heshima yako hii ndio dawa ya plastic fan kama hawa.
 
Linapokuja suala la mpira kwani nani asiyefuatana na upepo unapoenda?

Upepo ulielekezwa kwa Conte baadae nini kilijiri?

Upepo ulielekezwa kwa Unai baadae nini kilijiri?

Na kwa huyu Lampard nakupa misimu miwili tu mbele utaona nini kitafuata.

Arteta its OK
Huyu unayemjibu ni Pundamilia fc
 
Wewe Jamaa lembu nilikuwa ninakuamini sana lakini Kumbe ni Muongo na Mzushi.

Mimi sijawahi kuanzisha wala kushiriki Movement ya #KLOPPOUT. Kwahili niombe radhi.

Mashabiki wa Liverpool wako makini na wanachokiona! Kwenye Uzi wetu wa Liverpool tokea nijiunge Sijawahi kuona Movement ya KLOPPOUT.

Mimi mwenyewe binafsi ni Mkosoaji Mkubwa wa Klopp ambapo tupo wengi sana lakini tulimvumilia na tukawa tunakosoa sera zake tu! Hii habari ya KLOPPOUT haikuwahi kuibuka kwenye Uzi wetu Kwani tulijua kuwa ni Kocha bora ila haikuwa na Wachezaji.

Nenda Kafukue makaburi kama utakuta post yoyote kwenye Uzi wetu ya Mshabiki wa Liverpool iliyowahi kusema KLOPPOUT.
Sasa mimi na wewe nani mwongo na mzushi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom