Gpili
JF-Expert Member
- May 18, 2020
- 2,179
- 2,084
We punga huna team mpaka penat [emoji23][emoji23]London is Blue [emoji170][emoji170][emoji95]
Chelsea 4- 0 Crystal palace.
We punga huna team mpaka penat [emoji23][emoji23]London is Blue [emoji170][emoji170][emoji95]
Chelsea 4- 0 Crystal palace.
Hehee.. ndio shida ya sisi mashabiki.Matokeo yakija tofauti utaskia mbona mount leo hakuanza
Duh! Punga?We punga huna team mpaka penat [emoji23][emoji23]
Sema tena usikike. Nyie mnavopiga fujo kwenye majukwaa yetu na sisi tusemaje?Southern Highland Ollachuga Oc mnavopiga kelele kwenye majukwaa ya watu mtazani mna timu ya maana kumbe full UTOPOLO .Yaani mngekuwa mnacheza mpira level ya Liverpool au Man City nahisi tungejipiga ban.
Mpotezee uyo dishi limeyumbaDuh! Punga?
Aisee control vidole vyako vibovu hivyo...
Afu sijaielewa statement yako.
Duh! Punga?
Aisee control vidole vyako vibovu hivyo...
Afu sijaielewa statement yako.
Sawa mpiga ramli naona leo umewrongMshabiki nguli wa Crystal Palace, nitakuwa hapa kumwaga updates kama zoțe, tuwe pamoja
Here we go.
Chel 2 Crystal Palacě 5
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] mtoto akililia wembe mwache huu mkateMungu anawaona kwa kuwapiga hawa jamaaView attachment 1588869
Kai karavati ni Nicolas Pepe mweupe [emoji23][emoji23][emoji23]
Auzwe huyo bakayoko bora alonso abakiBaada ya kunyimwa kumsajili Emerson, Inter sasa wanamtaka Alonso
Napoli nao wana mtaka Bakayoko
Ujue nilikuwa offline, sasa nimeingia nikafika ku'comment tu hata sijasoma comments za wengine nikaona qoute yake.Asikuharibie weekend huyo, anatafuta wanaume kwenye thread za watu, ukiweza muignore.
Unaona kuna anayemjibu humu?
Unafikiri Chelsea ndo manyumbu wakupigwa hovyoLeo palace wana jambo lao
Ujue nilikuwa offline, sasa nimeingia nikafika ku'comment tu hata sijasoma comments za wengine nikaona qoute yake.
Kama ndiyo michezo yake basi ignore list inamuhusu...
Basi tunatoa hizo goli 2 za penalt je zitabaki ngapi[emoji2211][emoji2211][emoji2211]Mipenati aaahh