Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kabla ya Kunifunga hii 2018 unaweza Kumbuka na wewe Kwa Mara Ya Mwisho kunifunga ilikuwa lini? Na Je Kipindi Hicho Chote Nilikufunga Michezo mingapi?

2016 → 2017 → 2018 Kumbe Kusema Kote Kuwa Kwa Mara ya Mwisho Kukufunga ilikuwa Ni 2016 Ni kwamba nimekukosa Mwaka mmoja tu Wa 2017? 😀😀
Basi Mara hii 2018 nitarudia Kazi yangu Kukufunga.
Hii kauli huwa unaipinga sana. Hatimaye leo umesema kabisa utashinda game yetu. Naomba nikusubiri kwa hamu sana wewe na timu yako bora.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii kauli huwa unaipinga sana. Hatimaye leo umesema kabisa utashinda game yetu. Naomba nikusubiri kwa hamu sana wewe na timu yako bora.

Sent using Jamii Forums mobile app

Umekosea! Hiyo kauli Haimaanishi Kwamba Ndiyo Nishajihakikishia Kuwa Lazima Nitakufunga! Ni Kauli Ya Kukukatisha tamaa tu Kuwa Liverpool kumfunga Chelsea, Arsenal na Man City huwa haihitaji iwe na Timu nzuri, Hata Nikiwa na Wachezaji Wa Kuungaunga tu Basi ninawafunga.
Labda Manure ndiyo ili nimfunge ninahitaji Niwe na Timu nziri kwa Siku hile ya Mchezo.
 
Umekosea! Hiyo kauli Haimaanishi Kwamba Ndiyo Nishajihakikishia Kuwa Lazima Nitakufunga! Ni Kauli Ya Kukukatisha tamaa tu Kuwa Liverpool kumfunga Chelsea, Arsenal na Man City huwa haihitaji iwe na Timu nzuri, Hata Nikiwa na Wachezaji Wa Kuungaunga tu Basi ninawafunga.
Labda Manure ndiyo ili nimfunge ninahitaji Niwe na Timu nziri kwa Siku hile ya Mchezo.
Wewe kuifunga Chelsea ilikuwa mwisho mwaka juzi.

Msimu huu ukijitahidi sana upate droo.
 
Kovacic: " It t was important that after 3 years of inconsistency in playing time in Madrid I’ve got into a team that wants me & a coach that wants & trust me, that’s how Chelsea happened. That’s what I really need now, I’m feeling really good and I want to keep it that way."

Kovacic on the win: “l’m happy about the win and that’s the most important thing, it’s good that the team is playing well so it’s easy to adapt but I’m still out of rhythm since I’ve just joined the squad, but I’m working well and I’m improving & that’s what matters.”

Kovacic on EPL: “Well, the tempo is higher, there is more space, but as I said it’s not hard to adapt when you are surrounded by great players. I would thank to all fans that support me and I will make sure I payback on the pitch." #CFC

Kovacic on Sarri: "Well yeah, he knows me for a long time, I’ve watched a lot of his games, he likes to play and that’s what matters in my opinion. The squad is phenomenal with many great players that’s why it wasn’t so hard to adapt quick." #CFC


Herrr ds kovacic

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamani tuwe wakweli,mwaka huu pia TEAM hamna!
Aube anakosa bao 3 yy na goli
Mikhi anakosa bao la ajabu
Ilwobi anakos abao la wazi
Mkicheza vile na Liverpool,Spurs na Man City walahi mnakula 10-1
Mane au Salah au Firmino hawezi kosa seat up kama zile za Auba
Team kw akweli bado hamna
Nani hapa bado hayaogopi Majogoo?
Labda man city lakini sio liverpool
Liverpool ni ya kawaida sana mbele ya chelsea malafyale
Hata huyo city safari ijayo inabidi ajipange sana kucheza tena na chelsea

E&K
 
Mwenzio kaongea point unaongoza mbili bila zote zinarud fasta hilo tatizo lazima kocha afanyie kazi upende wa bek sasa ukishambulia kwa city na liverpool utapona?
Sidhani kama mabeki wamesahau kukaba kwa sababu hii ni kazi waliyokuwa wakiifanya chini ya conte

E&K
 
Eden Hazard:

“Everybody know what I have said after the World Cup. But I’m happy here. I don’t want to talk about it yet. A lot has been said, but at the moment I’m happy. I have two years left on my contract and we’ll see what happens. Leaving this year? I won’t go.” (RMC)
#cfc Kristof Terreur on Twitter

Sent using Jamii Forums mobile app
Wacha aendelee kukaa bench tu Aingie kipindi cha pili maana anazingua
Kama anataka kusepa asepe tu asituzingue

E&K
 
NYINYI HATA IKIFIKA JANUARY BASI NAWAHAKIKISHIENI KATIKA HUU UZI MUTAKUWA MUSHAPOTEANA
samahani lakini una umri wa miaka mingapi vile mana yawezekana tangu umezaliwa hukuwahi ona liver ana kombe LA EPL nyie kila mwaka ni wazuri tulisha wazoea kuanzia kwa Steve ,Torres, yule muumaji yule na Leo Sarah na mane jipange
 
Hongereni Kwa Kuongoza Ligi Kwa Masaa 20.
Mwenye Ligi Kampiga Mtu '6' ambaye nyinyi muliishia Kupata 3.
Kwahiyo Tayari ameshakamata Nafasi Yake.
Tuliobakia Tuishie Kusindikiza tu.
Nyie endeleeni Kujitangazia Ubingwa Wa Kusadikika.
 
Hongereni Kwa Kuongoza Ligi Kwa Masaa 20.
Mwenye Ligi Kampiga Mtu '6' ambaye nyinyi muliishia Kupata 3.
Kwahiyo Tayari ameshakamata Nafasi Yake.
Tuliobakia Tuishie Kusindikiza tu.
Nyie endeleeni Kujitangazia Ubingwa Wa Kusadikika.
Wewe huwezi kutwaa tuachie tuliozoea kutwaa EPL

E&K
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom