Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

1534617326324.jpg
1534617343701.jpg
1534617349027.jpg
1534617353305.jpg
 
Alafu kama kuna mtu ana follow breathechelsea Instagram hivi in kuwaje hiyo page haipo tena?

Sent using Jamii Forums mobile app
Niliskia imefutwa sababu ilipost picha ambazo zina hatimiliki ya Chelsea. Inasemekana Chelsea hawataki picha zinazomilikiwa na wao wazipost watu wengine sababu inawaletea ushindani kwenye app yao, sababu za kibiashara n.k

Mtu Mzito HEAVY WEIGHT
 
Nawasubiri hao vijana. Tulipokutana msimu uliopita hawakuwepo vijana.?

Sent using Jamii Forums mobile app

Tunapozungumzia sasa basi tubaki kwenye sasa tu! Lakini Unapozungumzia Past basi usiishie Msimu uliopita tu Zungumza na Kabla ya Hapo Coz kabla ya Msimu uliopita Hukuwa na Matokeo Mazuri Kwa Liverpool Manake Unachukuwa Ubingwa ukiwa na Conte basi nilikupiga Hapohapo Darajani.
 
Tunapozungumzia sasa basi tubaki kwenye sasa tu! Lakini Unapozungumzia Past basi usiishie Msimu uliopita tu Zungumza na Kabla ya Hapo Coz kabla ya Msimu uliopita Hukuwa na Matokeo Mazuri Kwa Liverpool Manake Unachukuwa Ubingwa ukiwa na Conte basi nilikupiga Hapohapo Darajani.
Unajua mara ya mwisho we kunifunga ilikua 2016. Kama hutaki tuzungumzie past basi naomba hata future tuiache kama ilivyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Eden Hazard: "It is better to be on the pitch than watching on the bench, but the boys when they are playing they did well so I am just happy for the win." #CFC

Hazard on Sarri: "He is the kind of manager who wants the ball, to control the ball. I can’t say a wrong thing about that. I want to play and have the ball at my feet. We have players who can do something magic. He is a great manager, like we had before." (BT) #CFC

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Granit Xhaka has been booked more times (12) than any other player in the Premier League since the start of last season.
Arsenal bingo.

No Chelsea or Arsenal player created more chances (3) than N'Golo Kanté in the first half at Stamford Bridge.

Jorginho’s first half - most touches, most passes, most tackles & interceptions. Pass accuracy of 93% #chears

19 - Marcos Alonso has been directly involved in 19 Premier League goals since his Chelsea debut in September 2016 (13 goals, 6 assists); six more goals than any other defender. Gliding.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom