Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Hahaha sasa uko kwingine nifate nini mkuu.
Wakati Sarri anafanya ni enjoy maisha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Endelea tu kuenjoy Mkuu
Hahaha sasa uko kwingine nifate nini mkuu.
Wakati Sarri anafanya ni enjoy maisha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Labda Fellain awe kocha wenu wa Muda
Naona wote wameuelewa mfumo wa sarri iwe hazard, willian, Pedro, giroud, morata sawa tu
E&K
na wewe ufikirie kuwa mfumo wake sarri si wamagoli ni waoi hata ajr firward gani hawez fikisha hizogoli under sarrrMara zote tumeshinda EPL tukiwa na mtu anayefunga magoli 20+ kwenye EPL pekee yake (Costa, Drogba). Je huyo mtu yupo tangu hao waondoke?
Jitahidi utumie akili yako kufikiria. Hakuna timu inabeba ubingwa ikiwa na forward butu. Barca wana Suares na Messi; Madrid walikuwa na Ronaldo; Man City wana Aguero na Sterling; Liverpool wana Mane na Salah. Kwa hiyo usijidanganye kwamba mabeki na midfield watacover makosa ya foward
Sent using Jamii Forums mobile app
acha aende huyoHazard Deal Done, kuanzia tarehe 30 June 2019 atakuwa mchezaji wa Real Madrid
Dear Mr Sarri,
- You told us about the Sarri ball but you did not tell us tha you will convert Alonso to a striker?
- Why did you not tell us that Jorginho was not just a player but also a pass master?
- Your team had 82% ball possession and ur opponent had 18%. Isn't that wicked?
- jorginho had more passes than the whole Newcastle team. Wasn't that humiliating your counterparts?
- Minister of defence Mr Antonio Rudiger was my man of the match for that long range strike that blasted the woodwork. Did you also notice?
- lastly Mr Sarri, please help me tell Mr Kovacic that I said he is a beast that should be feared by opponents this season.
yours friendly
Sarri ball lover
N.B Please tell Mr Hazard not to be a ONE MAN GANG our opponents also need tym to breathe during play.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa SarriBall hata Morata mwaka huu atacheza na atafunga tu!
TETESI
MOU will be back to Chelsea for the third time this coming summer to replace Sarri. What is your opinion?
Will we welcome him again or continue with Sarriball?
Arudi tu me namkubali Sana hakuna tatizo ila kuna wachezaji wataondoka tu..TETESI
MOU will be back to Chelsea for the third time this coming summer to replace Sarri. What is your opinion?
Will we welcome him again or continue with Sarriball?
Mkuu kwani wewe unaumia au.? Kwa sababu kila kilicho andikwa hapo hukioni au.? [emoji3][emoji3][emoji23] [emoji23][emoji23] Huku ndiyo kukosa kueka hakiba ya maneno
Hatakiwi hata kugusa mlango wa kuingilia. Aishie huko hukoTETESI
MOU will be back to Chelsea for the third time this coming summer to replace Sarri. What is your opinion?
Will we welcome him again or continue with Sarriball?
Mna utani nyie. Si bora kubaki na Sarriball kuliko kulamba matapishi tena. Mou hana jipya kwa sasa.Arudi tu me namkubali Sana hakuna tatizo ila kuna wachezaji wataondoka tu..
Sent using Jamii Forums mobile app
Bado naifurahia sana ila ni magoli tu yanasumbuaWayaaaaaaaaaa! nimeliona hili kaburi pembezoni mwa barabara