ryana fan
JF-Expert Member
- Apr 27, 2018
- 2,632
- 3,056
Ahsante kwa kutukubali. Na wewe jitaidi unyanyue kwapa msimu huuHongereni kwa ushindi wakubwa, mnatisha.
Mpaka sasa naona kabisa namba 3 ni ya kwenu nyuma ya Man City na Liverpool.
Ahsante kwa kutukubali. Na wewe jitaidi unyanyue kwapa msimu huuHongereni kwa ushindi wakubwa, mnatisha.
Mpaka sasa naona kabisa namba 3 ni ya kwenu nyuma ya Man City na Liverpool.
Hongereni kwa ushindi wakubwa, mnatisha.
Mpaka sasa naona kabisa namba 3 ni ya kwenu nyuma ya Man City na Liverpool.
Huyu chalii na kuhara na magonjwa ya tumbo kama mdada.Sarri confirmed he substituted Pedro and Morata because of strong Stomach Ache. That explains why Morata rushed to the toilet.
Don kuna laki tano ya bure kabisa hapaKuna watu mnapenda kujifariji.
I swear to you...Liverpool ikimaliza huu msimu juu yetu kwa njia yoyote utakayoamua..nitakupatia Laki tano kamili.
Sihitaji chochote kwako..ni imani niliyonayo juu ya hii klabu aisee.
Wazee wa "mwaka wetu huu" ..Hongereni kwa ushindi wakubwa, mnatisha.
Mpaka sasa naona kabisa namba 3 ni ya kwenu nyuma ya Man City na Liverpool.
Kuna watu mnapenda kujifariji.
I swear to you...Liverpool ikimaliza huu msimu juu yetu kwa njia yoyote utakayoamua..nitakupatia Laki tano kamili.
Sihitaji chochote kwako..ni imani niliyonayo juu ya hii klabu aisee.
Don kuna laki tano ya bure kabisa hapa
Kila msimu ni mwaka waoWazee wa "mwaka wetu huu" ..
Wewe sio fan wa The Blue, timu imeboreka hivi halafu bado unasema hayo. Waache hao ambao wako obsessed na Ubingwa kila mwaka na hawapati hata CarabaoSarri anazinguaga hapo tu.
Yaani anakuwa best runner.
Klopp atakuwa aki-fight UEFA position inapokaribia mwishoni mwa ligi, tumezoea hivi miaka yote hata enzi za akina Benitez na Brendan RoggerKuna watu mnapenda kujifariji.
I swear to you...Liverpool ikimaliza huu msimu juu yetu kwa njia yoyote utakayoamua..nitakupatia Laki tano kamili.
Sihitaji chochote kwako..ni imani niliyonayo juu ya hii klabu aisee.
Mi ni Fan kindaki ndaki wa The Blues.Wewe sio fan wa The Blue, timu imeboreka hivi halafu bado unasema hayo. Waache hao ambao wako obsessed na Ubingwa kila mwaka na hawapati hata Carabao
Ligi ya kwanza kubwa ya Sarri Serie A na timu yake ya kwanza ni Napoli ambao walikuwa na bibi Juve, Napoli ni timu ndogo isiyoweza kununua wachezaji ghali tofauti na Chelsea. Napoli kwa miaka 26 imeweza kuwa top kwenye seria A chini ya Sarri. Sasa amekuja kwenye timu yenye uwezo wa kununua wachezaji atakaowataka. Na tumeanza kwa kumpa kipa ghali kuliko wote duniani. January tutaziba viraka isipotosha msimu wa kiangazi tutamalizia kwa ajili ya 2019/20. Japo kwa kusoma historia yake Sarri ni kama Wenga hapendi kununua wachezaji, ni aina ya kocha anayeam,ini kwenye kujenga alianaoMi ni Fan kindaki ndaki wa The Blues.
Angalia past record ya Sari utanielewa.
Hiyo namba 1-3 ni kwa muda tu. Saa yooyte unaweza panda au shuka usijikweze.Hongereni kwa ushindi wakubwa, mnatisha.
Mpaka sasa naona kabisa namba 3 ni ya kwenu nyuma ya Man City na Liverpool.
Hehee.. Mkuu na mimi najazia hapo. Naongeza kilo mbili na nusu iwapo nyinyi mtamaliza juu yetu.Mkuu hii tuisubiri, tutaigawa kule kwenye jukwaa la Liverpool angalau tupate soda na bia za kujipongeza ubingwa.
Mkuu Mentor tunaisubiri kwa hamu hiyo hela.
Hehee.. Mkuu na mimi najazia hapo. Naongeza kilo mbili na nusu iwapo nyinyi mtamaliza juu yetu.
Hamba mbavu wala ubavu huo. Namaanisha nisemacho
Ona ulivyokua haujiamini!' mwenzio katoa dau halafu ww usiweke dau? weka na ww dau acha umama, si unauhakika na timu yako.Hahaha, sawa mkuu mimi sina cha kutoa, uzuri humu hatujuani hata ikitokea ukakaa kimya siwezi kuidai na siyo contract.
Mimi ninaamini una maanisha, na nitakuwa na ninyi bega kwa bega mpaka ligi inaisha.
"...labda muwe mabingwa..."Sawa mkuu, sisi labda muwe mabingwa ndo mtaliza juu yetu.
Sisi tunasubiri hiyo mipunga.