Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Sometimes ubishani mwingine ni wa kupimana akili na kupoteza muda tu. Ngoja na mimi nipoteze na wewe.

Amecheza mechi tisa ana cleansheet 4. Tunashika nafasi ya tatu.

Ughali wake ni kwa sababu ni mdogo na ana umri wa miaka 24 so bado anaqeza kuwa bora zaidi hapo baadae.
Washabiki wengi wa Chelsea wanaona ununuzi wa Kepa ndio wa maana msimu uliopita, wanaosaga ni wivu tu
 
Mtifuano wa kisiasa umesababisha haya yote mkuu, Wanasema kwa sasa Abrahamovic anatumia status yake ya Uraia wa Israel kupumua huko UK, Mradi wa ujenzi wa uwanja uko mashakani, haya ndiyo madhara ya kuingiza siasa kwenye michezo.
Tatizo lako kila kitu unajifanya unajua
Siasa ni kila kitu na siasa Ndio inaamua michezo
Hakuna tajiri duniani asiye na mahusiano mazuri na rais wa nchi yake labda kama hajui biashara ni nini
 
Tatizo lako kila kitu unajifanya unajua
Siasa ni kila kitu na siasa Ndio inaamua michezo
Hakuna tajiri duniani asiye na mahusiano mazuri na rais wa nchi yake labda kama hajui biashara ni nini
Haha, nimetoa mawazo yangu kama wewe mkuu, hakuna mahali nimelazimisha mtu kuamini ninachosema, you are just feeling insecure by my presence, Jamii forums ni huru kwa kila mtu na naruhusiwa kuchangia Jukwaa lolote lile vile ninavyojisikia tu. Hakuna member ambaye ni mmiliki wa Thread ama jukwaa lolote, wote tupo sawa. Kwahiyo kama comment yangu imekukera sana. ungeachana nayo tu.
 
IMG_20181026_160336_414.jpeg
 
Sometimes ubishani mwingine ni wa kupimana akili na kupoteza muda tu. Ngoja na mimi nipoteze na wewe.

Amecheza mechi tisa ana cleansheet 4. Tunashika nafasi ya tatu.

Ughali wake ni kwa sababu ni mdogo na ana umri wa miaka 24 so bado anaqeza kuwa bora zaidi hapo baadae.
Ok
Kumbe golini ni kiazi tu ila udogo wake ndo sababu yq ughali wake, hapo fresh
 
Chelsea completed an incredible 33 take-ons vs BATE at Stamford Bridge; the top four players:

• Ruben Loftus-Cheek (7/9)
• Mateo Kovačić (6/6)
• Emerson Palmieri (6/6)
• Callum Hudson-Odoi (5/5)

The Blues' ball-carriers blitzing past Borisov. 🔥
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom