Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Leo Nadhani utaconfirm Kuwa Hawa Washabiki Wa Chelsea Ni Amateurs Wa 2010 hadi 2015..

Tazama Leo Wako Wapi hapa?

Sisi Tunafungwa na Hatukimbii Majukwaa..

Wao Wamedraw tu lakini Wameingia Mivunguni
We Ngwaba mnaacha kwenda kuchonga na timu yenu mbovu huko kwenye jukwaa lenu mnakuja kuleta ngebe hapa na droo, je kama tungefungwa si mngebinafsisha hili jukwaa, Ebo. Wewe pambana na hali yako wiki ijayo
 
Nimeona wavamizi wanachonga sn km wamemeza frash matumboni kwao...

Ha ha ha ha....

Mnataka ktk hizo timu tatu ambazo hazijafungwa Chelsea ndio iwe ya kwanza eeeeeehe?

Shwain nyie. Angalieni ratiba za timu zenu za michezo ijayo kisha muone nani atagegedwa mapema.
 
Alafu nyumbu wanakuja ooohooo mnafurahia doroo, mara ooooohooo sijui nini?

Utd amezidiwa kila kitu na Masigara. Kz kucheza mpira wa kuvizia vizia km mwizi. Na alipopata goli la pili akajifanya kufanya sub 3 haraka haraka na kumuingiza Hererra ili akapaki li bus lake. Lkn tangu alipofunga goli la pili, lango la Utd lilisakamwa mpk goli likapatikana.
Screenshot_2018-10-20-16-53-15.jpeg
Screenshot_2018-10-20-16-52-45.jpeg
Screenshot_2018-10-20-16-52-59.jpeg
 
Mnalia na refa kuongeza Dk 6 kwanini huyo refa msimpe bahasha ya kaki Kwa kuwapa goli la kwanza lililofungwa huku Alonso akiwa chini kalala?
 
We Ngwaba mnaacha kwenda kuchonga na timu yenu mbovu huko kwenye jukwaa lenu mnakuja kuleta ngebe hapa na droo, je kama tungefungwa si mngebinafsisha hili jukwaa, Ebo. Wewe pambana na hali yako wiki ijayo

Rant Boys naomna munajifariji kuwa Tunaelekea Katika Ratiba Ngumu....
Ninawakumbusha tu kuwa Ratiba yetu inayofuata Ni Hii hapa.

October
√ 27 – Cardiff City (H)

November
√ 3 – Arsenal (A)
√ 11 – Fulham (H)
√ 24 – Watford (A)
 
Leo Nadhani utaconfirm Kuwa Hawa Washabiki Wa Chelsea Ni Amateurs Wa 2010 hadi 2015..

Tazama Leo Wako Wapi hapa?

Sisi Tunafungwa na Hatukimbii Majukwaa..

Wao Wamedraw tu lakini Wameingia Mivunguni

Nani amateur? Watu tuko wanazi wa the blues toka Tz ina mikoa 21 blaza. Manyu mna kelele sana, jana Josè kaguswa kdg kataka kurusha ngumi
 
Alafu nyumbu wanakuja ooohooo mnafurahia doroo, mara ooooohooo sijui nini?

Utd amezidiwa kila kitu na Masigara. Kz kucheza mpira wa kuvizia vizia km mwizi. Na alipopata goli la pili akajifanya kufanya sub 3 haraka haraka na kumuingiza Hererra ili akapaki li bus lake. Lkn tangu alipofunga goli la pili, lango la Utd lilisakamwa mpk goli likapatikana. View attachment 905605View attachment 905606View attachment 905607
MKUU MPIRA HAUPO IVO MPIRA WATU WANASAKA MATOKEO UNAZD TAKWIMU ZISIZO SAIDIA
 
siku ile sturridge anasawazisha dhidi ya chelsea chelshit fans walituponda kweli eti tulishangilia draw nadhani jana wenyewe walikuwa wanashangilia pointi 3
 
Tumrudishe costa tu maana nasikia kule kagoma kusaini abata malipo sawa na grzman
Costa asahau kulipwa sawa na grizman,unajua grizman malipo yake hata CR7 alikua hafikii malipo ya grizman wakati yupo madrid sijui sahivi juventus analipwaje,costa asepe
 
haiwezekani inter tunawapa morota na pesa juu.Abromo ameshaona pengo kubwa sana mbele atamwaga pesa mingi ya kumchukua. na icardi ana uhakika akitua chels hakosi namba
 
haiwezekani inter tunawapa morota na pesa juu.Abromo ameshaona pengo kubwa sana mbele atamwaga pesa mingi ya kumchukua. na icardi ana uhakika akitua chels hakosi namba
 
Uzuri wa mpira ni kwamba, wengine wanacheza uwanjani na huku wengine wakipanga matokeo kwenye keyboard
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom