Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea naona mmetakata, sio kwa gonga hizi, ila kuweni makini, Arsenal wakitulia mtakufa kwa Counter.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tuko na Sarri mzee asiejua kukaba Bali kushambulia tu
Saa nyingine nzuri ila saa nyingine mbaya
Ukikutana na team inayojua kutumia nafasi unakufa
Mi mwenyewe wananishangaza wamesahau kabisa kuzuia zuia sasa hivi ni mbele kwa mbele tu na mipasi yao

E&K
 
Rudiger na Luiz naona hawaelewani kabisa wanaacha watu nyuma kila mara. Krosi za chini zote wanashindwa kuzifanyia kazi zinafika kabisa kwa mlengwa aisee
Mtu wa kucheza na rudiger ni Christiensen sio Luiz basi tu sarri Ndio kashachagua tena

E&K
 
Kumbe kovacic yupo vizuri hivo timu ilibalance bada ya kuingia
#we'are chelsea#
Sikuwahi kuwa na shaka nae
Hata pale madrid alikuwa anaingia kipindi cha pili anakiwasha kama kawaida
Bakley atanyang'anywa nafasi muda sio mrefu

E&K
 
Jamani tuwe wakweli,mwaka huu pia TEAM hamna!
Aube anakosa bao 3 yy na goli
Mikhi anakosa bao la ajabu
Ilwobi anakosa bao la wazi
Mkicheza vile na Liverpool,Spurs na Man City walahi mnakula 10-1
Mane au Salah au Firmino hawezi kosa set-up kama zile za Auba
Team kwa kweli bado hamna
Nani hapa bado hayaogopi Majogoo?
 
Unajua mara ya mwisho we kunifunga ilikua 2016. Kama hutaki tuzungumzie past basi naomba hata future tuiache kama ilivyo.

Sent using Jamii Forums mobile app

Kabla ya Kunifunga hii 2018 unaweza Kumbuka na wewe Kwa Mara Ya Mwisho kunifunga ilikuwa lini? Na Je Kipindi Hicho Chote Nilikufunga Michezo mingapi?

2016 → 2017 → 2018 Kumbe Kusema Kote Kuwa Kwa Mara ya Mwisho Kukufunga ilikuwa Ni 2016 Ni kwamba nimekukosa Mwaka mmoja tu Wa 2017? 😀😀
Basi Mara hii 2018 nitarudia Kazi yangu Kukufunga.
 
Mpira wa sarri ni kushambulia muda wote huko nyuma hana mpango saana ndio maana team ikishambuliwa unaona beki inatikisika ila wao wakiwa na mpira wanakuwa hatari mno
Hii inaitwa Sarri ball

E&K
Mwenzio kaongea point unaongoza mbili bila zote zinarud fasta hilo tatizo lazima kocha afanyie kazi upende wa bek sasa ukishambulia kwa city na liverpool utapona?
 
Jamani tuwe wakweli,mwaka huu pia TEAM hamna!
Aube anakosa bao 3 yy na goli
Mikhi anakosa bao la ajabu
Ilwobi anakos abao la wazi
Mkicheza vile na Liverpool,Spurs na Man City walahi mnakula 10-1
Mane au Salah au Firmino hawezi kosa seat up kama zile za Auba
Team kw akweli bado hamna
Nani hapa bado hayaogopi Majogoo?
Hijazungumzia na kosakosa zetu. Hapo Hazard hakuanza. Nakusubiri kwa hamu wewe mwenye timu bora. *****

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom