Uchaguzi 2020 Chato: Yaliyojiri Mapokezi ya mgombea Urais wa JMT kupitia CHADEMA, Tundu Lissu

Wala hata sidhani kama alipanga, nilichoona ni watu huko walikuwa hawamtaki tu lissu awakaribie na ndio maana hutaona picha wala video ya mkutano wa lissu huko chato.
Kila siku lissu anawatukana watu wa chato, leo naona wameamua kumuonyesha pengine hawapendi dharau
Mbona mkutano mkubwa amehutubia watu gani inasema hawamtaki unaota ndoto waliopangwa ndio walipiga mawe wakati wengine wanaondoka magufuli mwoga kama kunguru6
 
Magufuli aloenda Ikungi alikozaliwa Lisu na anafanya mkutano kwa amani kabisa bila kisasi Cha wenyeji Pamoja na kuwaambia mtoto wao ajitoe kugombea urais Amuunge mkono atampa kazi “ndogo ndogo “

Leo hii Kwenye kijiji chake anaweka interahamwe wamdhuru mwenzake
Mbona wasukuma huwa hawako hivyo ?
 
Hakuna Msukuma mwenye tabia za Magufuli. Hakuna.
 
Leo Magu Kasema “shukrani ya Punda ni mateke....”

Nadhani Alidhani baadhi ya Mikoa ambayo anajinasabisha nayo haingemuangusha kwa kuumuunga mkono Lisu kwa kiwango hicho
Yaani Chato tu tena kijiji kwake ndio wamekubali Huo ujinga wa vurugu

Wasukuma original ni wapole na wakarimu Sana kwa wageni ; hawa “wasukuma” wa Ukoo wake kina Kalemani ; wametoka wapi hawa ... ?

Mapokezi chato
 
Magufuli aloenda Ikungi alikozaliwa Lisu na anafanya mkutano kwa amani kabisa bila kisasi Cha wenyeji Pamoja na kuwaambia mtoto wao ajitoe kugombea urais Amuunge mkono atampa kazi “ndogo ndogo “

Leo hii Kwenye kijiji chake anaweka interahamwe wamdhuru mwenzake
Mbona wasukuma huwa hawako hivyo ?
Magufuli sio msukuma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ningekuwa Lissu kesho asubuhi ningeenda kupata breakfast na Mzazi wa mpinzani wake na kumtakia kheri na pole za ugonjwa.
Unamsogelea ibilisi muuaji shetani!? Watz wanahofu pia iwapo mfalme wa Jamhuri ya chato akikubali kufanya mdahalo na Tundu Lissu km hatabeba silaha na kumshambulia Rais wetu Lissu
 
Well walau umekuwa mkweli pamoja na kuzurura kote kwa Lissu ni sawa na kutwanga maji kwenye kinu this contest is as good as over.

..ccm mnataka iaminike hivyo.

..lakini kwa sasa hivi it is a two-horse race.

..and we are hoping and praying that our candidate emerges victorious.
 
..ccm mnataka iaminike hivyo.

..lakini kwa sasa hivi it is a two-horse race.

..and we are hoping and praying that our candidate emerges victorious.
You’re entitled to hoping.

Lakini hii shughuli ni kama game 6 Lakers vs Miami, after the 2nd quarter the championship was wrapped kilichobaki ilikuwa ni kumalizia muda tu.

Magufuli kesha shinda huu uchaguzi kinachosubiriwa ni kufuata ritual tu zilizowekwa na NEC.

CDM bora wajikite kwenye majimbo tu lakini nafasi ya uraisi liko wazi it’s over ndio maana Magu is very relaxed.
 
Back
Top Bottom