Uchaguzi 2020 Chato: Yaliyojiri Mapokezi ya mgombea Urais wa JMT kupitia CHADEMA, Tundu Lissu

Magufuli kaishiwa kupanga watu wakupiga mgombea tishio lake mawe
Wala hata sidhani kama alipanga, nilichoona ni watu huko walikuwa hawamtaki tu lissu awakaribie na ndio maana hutaona picha wala video ya mkutano wa lissu huko chato.
Kila siku lissu anawatukana watu wa chato, leo naona wameamua kumuonyesha pengine hawapendi dharau
 
Sibishani na wajinga wanaongea pumba bila fact
Lete proof inayoonesha Lowasa alishinda au ndio umekaririshwa stori za mtaani!
Wewe ndio umekaririshwa zwazwa.
Muulize Makamba Jr na Katibu wko aliyepita Kinana wanajua matokeo.
 
Hadi uchaguzi wa serikali za mitaaa
Mwaka jana Mwenyekiti wa kijiiji chato na asilimia kubwa ya wenyeviti chato walikua Chadema na mara zote Mbunge amekua anapita kwa hila kama kuteka ; kupora fomu na kuziba barabara ili kumzuia kurudisha fomu ; hajawahi kupigiwa kura
Kimsingi mbinu alizokiwa anatumia chatto ndio Kaleta nchi nzima kama Rais na kuimaliza ccm kwenye mioyo ya watu
Magufuli ni mgombea aliyezoea kushinda kwa figisu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wala hata sidhani kama alipanga, nilichoona ni watu huko walikuwa hawamtaki tu lissu awakaribie na ndio maana hutaona picha wala video ya mkutano wa lissu huko chato.
Kila siku lissu anawatukana watu wa chato, leo naona wameamua kumuonyesha pengine hawapendi dharau

Kumbe Wasukumu ni watu poa sana ndiyo maana anapokelewa kishujaa huko usukumani isipokuwa Wasukuma wa Kijiji cha Chatto washamba sana wanawatia aibu Wasukuma wote waonekane Washamba washamba tu.
 
Toa maujinga yako leo aibu yenu mngekuwa na watu hayo yangewapata CHATO hawatakagi ujinga.

Ningewaona wa maana kama mngemzuia asikanyage Geita na sio Chato tu tena kwenye kijiji chake
Lengo lake limefikiwa Kafanya mkutano na kaondoka Kadiri ya ratiba na muhimu kawafanya walioandaa ya chato kuonekana wajinga na yeye ndio alitaka hilo
 
Leo mwanachato watuambie je Chato international airport imewanufaisha vipi?

Je tangu 2017 mwanachato gani ameutumia huo uwanja? barafu alipiga kelele sana humu JF kuhusu huu uwanja tangu 2016.

Usije baadae ukageuka ni malisho ya mifugo.

Watumbie je taa za barabarani zimewaletea vip maendeleo au zimekuwa kama sehemu ya kuongozea maguta ya punda?

Vipaumbele binafsi vya mtu kuvifanya kuwa ndo vibaumbele vya Taifa ni hatari kwa kuwa huzaa "white elephant project"
Taa za barabarani hata wewe unaweza kuweka nyumbani kwako. Tanzania ni nchi tajiri ina uwezo wa kuweka kiwanja cha ndege/airstrip popote pale nchini. Mbona hamlalamiki kuhusu viwanja vya ndege/airstrip 38 zilizo kwenye hifadhi ya Mwalimu JK Nyerere? Sababu kubwa ni kwamba vinatumika na makuwadi wenu?
 
Lissu ulifikiri CHATO ni pa kispotispot ??Nilikuonya tangu asubuhi kuwa makini unavyoingiw CHATO Umeona sasa yaliyokukuta ???

Yaani umepopolewa na mawe ya kutosha shenzitype yaani ulikuwa unatafuta kick CHATO.
Magufuli acha uoga wewe unapanga vijana kupiga mawe wagombea wenzako baada ya kudharilishwa kwenu kwa kukataliwa
 
Ningewaona wa maana kama mngemzuia asikanyage Geita na sio Chato tu tena kwenye kijiji chake
Lengo lake limefikiwa Kafanya mkutano na kaondoka Kadiri ya ratiba na muhimu kawafanya walioandaa ya chato kuonekana wajinga na yeye ndio alitaka hilo
Twambie kuhusu haya kabla hajaingilia ya nchi?

1602609855255.png

1602609900089.png

Tanzania sio biashara.
 
Video za mkutano hujaziona,?
Search utaziona
Wala hata sidhani kama alipanga, nilichoona ni watu huko walikuwa hawamtaki tu lissu awakaribie na ndio maana hutaona picha wala video ya mkutano wa lissu huko chato.
Kila siku lissu anawatukana watu wa chato, leo naona wameamua kumuonyesha pengine hawapendi dharau
 
Magufuli acha uoga wewe unapanga vijana kupiga mawe wagombea wenzako baada ya kudharilishwa kwenu kwa kukataliwa

Leo Magu Kasema “shukrani ya Punda ni mateke....”

Nadhani Alidhani baadhi ya Mikoa ambayo anajinasabisha nayo haingemuangusha kwa kuumuunga mkono Lisu kwa kiwango hicho
Yaani Chato tu tena kijiji kwake ndio wamekubali Huo ujinga wa vurugu

Wasukuma original ni wapole na wakarimu Sana kwa wageni ; hawa “wasukuma” wa Ukoo wake kina Kalemani ; wametoka wapi hawa ... ?
 
Muugopeni lissu kama ukoma. Anataka nchi isiyotii chochote. Ni mtu mbishi na mkorofi kwa kuzaliwa. Sijawahi kusikia akisema anakubaliana na nini.
Magufuli abamsikiliza bani ntu anavunja sheria hajali wstu ana matusi ya nguoni kwa wananchi
 
Back
Top Bottom