Uchaguzi 2020 Chato: Yaliyojiri Mapokezi ya mgombea Urais wa JMT kupitia CHADEMA, Tundu Lissu

You’re entitled to hoping.

Lakini hii shughuli ni kama game 6 Lakers vs Miami, after the 2nd quarter the championship was wrapped kilichobaki ni ilikuwa ni kumalizia muda tu.

Magufuli keshaahinda huu uchaguzi kinachosubiriwa ni ritual tu CDM bora wajikite kwenye majimbo tu lakini nafasi ya uraisi liko wazi ndio maana Magu is very relaxed.

..Magufuli is SICK, he is not relaxed.

..jamaa ni "spana mkononi" ndiyo maana kampeni anafanya kwa kustua-stua.
 
sasa mawe yamepigwa baada ya mkutano , imesaidia nini ?
Huo ni mkutano au kichekesho mwaka 2015 Jimbo zima la chato lenye kata 17 hamkupata diwani hata 1,Mkoa mzima wa Geita mlipata madiwani pamoja na mafuriko ya Lowassa, sasa mwaka huu hamtapata hata Kijiji kimoja.
 
Magufuli keshaahinda huu uchaguzi kinachosubiriwa ni ritual tu CDM bora wajikite kwenye majimbo tu lakini nafasi ya uraisi liko wazi ndio maana Magu is very relaxed.

Lissu is all sorts of LBJ! Dominating the game from the kick-go! Your man is full of injuries, one game, or rather one quarter and he's out.

Only way he's winning this is because he has the refs in his pockets.

Like ffs, we are not even allowed to count scores, according to the refs.
 
Miaka mitano Lisu ameitumia kuwatukana watu wa Chato kuwa hawafai kuwa na uwanja wa ndege ,taa za barabarani wala lami, juzi ameropoka tena kuwa mtoto wa wana Chato ,Magufuli kuwa ni mshamba!

Alafu leo huyu mzee wa tutashitakiwa MIGA anaenda kuomba kura Chato?

Narudia tena wewe una nyumba ya nyasi unaenda kumaliza pesa kuweka taa za barabarani kwa traffic ipi? Huku watu wako hawana maji. Ni ukichaa.

Suala la ushamba muulize Kinana.
 
Na mimi nikusaidie ili wakati mwingine usirudie haya. Mafao ya uzeeni ni kweli hulipwa wakati mtu anapostaafu kwa hiari akiwa na miaka 55 au pale akifikisha miaka 60 ambapo anastaafu kwa lazima. ( kwa sasa kuna baadhi wanastaafu kwa lazima wakiwa na 65).

Utaratibu uliokuwepo kabla ya mwaka 2018 ni kuwa, kama mtu ameacha kazi kabla ya kufikisha umri wa kustaafu alikuwa anaweza kuomba kuchukua mafao yake. Wengi walifanya hivi na wakapata mitaji ya biashara na hata kujilipia ada katika masomo yao.

Hivi unaona ni sawa kwa mfano mtu anaacha kazi akiwa na miaka 38 unamwambia asubirie mpaka afikishe miaka 55 ndio ulimpe pesa zake tena bila ongezeko lolote? Hiki ndicho watu wanakipinga.
Taratibu ndugu yangu. Sisemi mambo ya jamuhuri ya kufikirika. Dada yangu ni mmojawapo wa hizo awamu za nyuma mkuu. Alipunguzwa kanzini akiwa na umri wa miaka 41. Alianza kupewa posho ya kila mwezi alipofikisha miaka 50, mbayo ilikuwa inakubalika kisheria kipindi hicho.
 
..Magufuli is SICK, he is not relaxed.

..jamaa ni "spana mkononi" ndiyo maana kampeni anafanya kwa kustua-stua.
Yaani mtu inafika hatua mpaka yeye mwenyewe anawaonea huruma wapiga kura inabidi atokee tu unaona kaelemewa.

We chunguza siku akitokea anaruka majoka tu ya singeli hana wasiwasi zaidi ya kuwahakikishia wananchi moto ni ule ule baada ya uchaguzi. Wacha apumzike kipindi hiki katufanyia kazi kubwa watanzania.

You know what they ‘ukipata totosa bwege mnyanyase’ wimbo huo enzi zetu za ndondo cup; ndio Magu sasa hivi anamwangalia Lissu tu anavyoangaika kila uchao.
 
Lissu is all sorts of LBJ! Dominating the game from the kick-go! Your man is full of injuries, one game, or rather one quarter and he's out.

Only way he's winning this is because he has the refs in his pockets.

Like ffs, we are not even allowed to count scores, according to the refs.
You see hapo ndio tofauti we unaona mchezaji mmoja, CCM wanaona team work anytime Rajon Rondo can erupt or Caldwell-Pope and influence the game.

Ask Miami what happened in the second quarter it was massacre offensively and defensively; just like what CCM is doing to CDM in this election.

Sasa hivi Bashiru anaangaika na mambo mengine, J.K anapiga picha tu na bongo celebrity huko instagram in short watu wako busy na mambo yao mengine. Magufuli wamemwamchia polepole tu, this is a done deal.
 
Alipofika buseresere na katoro akaghairi kwenda chato kwasababu alizomewa??? Hv mtu anaetokea muleba atapita buseresere na katoro kabla ya chato et??? Be a gentleman aseeee wadanganye ambao hawajawahi kufika huko!!!i
Alipitia Biharamulo halafu akashuka na njia ya Runazi hadi Bwanga ndio akaingia Katoro
Upo hadi hapo?
 
Eti Maccm hayataki TunduALissu alale Chato, yaani ni hivi mtake msitake leo TL atalala chato, nyie si mnajikuta watalaam wa kutoa roho za watu basi jaribuni leo muone, nyambafuuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani mtu inafika hatua mpaka yeye mwenyewe anawaonea huruma wapiga kura inabidi atokee tu unaona kaelemewa.

We chunguza siku akitokea anaruka majoka tu ya singeli hana wasiwasi zaidi ya kuwahakikishia wananchi moto ni ule ule baada ya uchaguzi. Wacha apumzike kipindi hiki katufanyia kazi kubwa watanzania.

You know what they ‘ukipata totosa bwege mnyanyase’ wimbo huo enzi zetu za ndondo cup; ndio Magu sasa hivi anamwangalia Lissu tu anavyoangaika kila uchao.

..Jiwe asiporuka majoka ataishia kutoa hotuba za kudhalilisha wanawake.

..Viongozi wa dini, Prof.Kabudi, na wanamuziki, ndio ngao yake asije akaadhirika.
 
You see hapo ndio tofauti we unaona mchezaji mmoja, CCM wanaona team work anytime Rajon Rondo can erupt or Caldwell-Pope and influence the game.

Ask Miami what happened in the second quarter it was massacre offensively and defensively; just like what CCM is doing to CDM in this election.

Sasa hivi Bashiru anaangaika na mambo mengine, J.K anapiga picha tu na bongo celebrity huko instagram in short watu wako busy na mambo yao mengine. Magufuli wamemwamchia polepole tu, this is a done deal.

Bashiru, your man's man, is on record calling out traitors inside the party. That tells you there is no teamwork.

CCM would rather have him go for all they care, but its the skeletons in the chest haunting them.

JK campaigned for his wife and son and went about his business.

No one wants to be associated with a Rodman/Roadman.

You can tell from his face he is sad, beaten, bitter and exhausted.

If the refs were fair, Bashiru would have thrown in the towel.

This would have ended in Game 4!
 
Nahisi watamzuia kutembelea huo uwanja.Na kwakuwa huko ni nyumbani kwa mgombea yule,nina wasiwasi pia anaweza fanyiwa hujuma katika kampeni zake huko lengo kuhakikisha hapati watu au ashindwe kuhutubia.

Ni imani yangu Lissu haendi kufurahia uwanja,bali anaenda kufanya tathimini physically ya huo uwanja kwa kuingilia kilichojengwa (kupata picha ya kilichojengwa) na ulazima wake pamoja na umuhimu wa kujenga uwanja katika eneo hilo.

Ushauri:Tundu Lissu vaa helmet muda wote ukiwa huko Chato na kuwaambia wananchi kila mtu awe mlinzi kwa kumtupia macho alie jirani yake katika mikutano na misafari atayofanya huko Chato(kwenye msafara wa mamba, hata kenge wamo).

Nasema hivi kwasababu,teyari dalili zinaonyesha kuwa lolote linaweza kutokea leo hii, hivyo ni bora kuchukua tahadhari zote zinazowezekana kuchukuliwa.
yamekuwa vivyo hvyo
 
You’re entitled to hoping.

Lakini hii shughuli ni kama game 6 Lakers vs Miami, after the 2nd quarter the championship was wrapped kilichobaki ilikuwa ni kumalizia muda tu.

Magufuli kesha shinda huu uchaguzi kinachosubiriwa ni kufuata ritual tu zilizowekwa na NEC.

CDM bora wajikite kwenye majimbo tu lakini nafasi ya uraisi liko wazi it’s over ndio maana Magu is very relaxed.
Magufuli is very relaxed? Mkuu uko wapi? Mambo yamekorogeka huko ndani na hali sio njema kwa Bashiru na Polepole. Mzee kwa sasa anasema wamekuwa sio strategic kama alivyowategemea
 
Huo ni mkutano au kichekesho mwaka 2015 Jimbo zima la chato lenye kata 17 hamkupata diwani hata 1,Mkoa mzima wa Geita mlipata madiwani pamoja na mafuriko ya Lowassa, sasa mwaka huu hamtapata hata Kijiji kimoja.
Mbona povu linakutoka hivyo kama CCM inajiamini kwanini inawatisha wagombea wa upinzani, mjiandae kuiba kura tu nakuhikishia kura zikipigwa halali Lisu ataibuka kidedea Mkoa wa Geita
 
Kilatha,

..hapa ccm wamejiaibisha.

..lakini zaidi, kwa tukio hili kutokea nyumbani kwa Raisi, ni doa ktk rekodi ya utawala wake.

..Chato panatakiwa kuwa na heshima yake, sawa na Msoga, Lupaso, au Butiama.

..I hope Raisi Magufuli atatoa kauli ya kukemea na kulaani tukio hili.

..I hope CCM watatoa kauli nzima kukemea na kuwakana waliofanya tukio hili.

..Wasipokemea basi wanaweza kusababisha watu wakaamini wahuni waliomshambulia Tundu Lissu wametumwa na Raisi na CCM.
 
Hii hesabu feki. Tanzania ni kubwa sana, hakukuwa na sababu ya Lissu kurudi kanda ya ziwa mara ya tatu. Anapoteza muda wake na resources, wasukuma hawezi kuacha kumpa kura mtu wao.
Mgombea yule sio Msukuma..ni muhamiaji haramu na wako wengi kwenye system
 
Nasikia mbabe Lissu yuko barabarani had I sasa hivi kagoma kutoka had I Gari ya Matangazo iliyopopolewa iwafikie.

Kumbe pake kibaha alikuwa anafanya leheso
 
Back
Top Bottom