Uchaguzi 2020 Chato: Yaliyojiri Mapokezi ya mgombea Urais wa JMT kupitia CHADEMA, Tundu Lissu

nra2303

JF-Expert Member
Jul 28, 2015
2,952
2,000
Huo uwanja unanikumbusha kasri la mobutu seseko wa DRC congo,saivi wanaishi popo na vyura.Documentary ipo youtube.Alafu unasema unamuenzi baba wa taifa?
 

katitu

JF-Expert Member
Dec 29, 2010
1,133
2,000
Kuanzia leo CHATO nawaweka kwenye kundi la wananchi wanaojitambua yaani mmemuonyesha mbeligiji kwa CHATO siyo aridhi iliyolaaniwa ni mwiko kwa mashoga kukanyaga.

Kwanza mmeuthibitishia umma kwamba hizo picha zinazonyesha Lissu apokelewa umati wa wananchi CHATO ni fake, kwani vijana wengi wanaolalamika kupopolewa na mawe wanadaiwa kutoka Katoro hadi Mgombea Ubunge Jimbo la Geita mjini aka chakula ya faru John alikuwepo.

Pili Kama kweli alipokelewa na umati kama huo hakuna mtu ambaye angekuwa tayari kuanzisha vagi la kurusha mawe .

Mwisho
Lissu mwenyewe amekili kwamba wamezomewa chato na alichokiita kundi la UVCCM, asante sana wakazi wa CHATO kwa kumuadabisha mbwa huyu.
Na wewe acha ubwatukaji kwani nani hajui kuna mamluki wamepandikizwa kuharibu kampeni za vyama vyenye nguvu?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom