cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 26,773
- 73,517
Mbona unakwepa maswali jomba?Kigogo siyo kibaka mwenzako jombi.
Wewe endelea kutumia VPN, acronym ambayo hata hukuwahi kudhani ipo.
Mbona unakwepa maswali jomba?
Hivi tulipowaambia acheni kuwekeza akili zenu kwa akina kigogo njooeni field mlituona hatuna akili ee?
Ujue watu wanaumia, wapumzishe kidogoVipi Mbowe atarudia kazi yake ya uDj?
Hata 2015 hawakuyakubali matokeo.Kwani kuna mwaka wowote wa uchaguzi ambao vyama pinzani vilisha kubali matokeo??
Hebu acheni utoto anzeni kujipanga leo kwajili ya mwaka 2025.
Watanzania tumesha amua.
Huna jipya, unakazania tu wagomee uchaguzi nothing else, ukiambiwa mbona walishagoma hakuna kilichobadilika huna majibu, akili imekugandaBullshit!
Ati Mbowe anaitisha kuvunjwa kwa NEC na kuundwa tume huru ya uchaguzi.
Hana jipya!
Welcome to the politics, mostly African politics.Hahahaahaa tuandamane tuwapiganie nafasi zao walizopoteza
Very interesting
Mgomo unapaswa kuwa endelevu.Huna jipya, unakazania tu wagomee uchaguzi nothing else, ukiambiwa mbona walishagoma hakuna kilichobadilika huna majibu, akili imekuganda
Ajiudhuru ili amfaidishe nani?Wapinzani NI WASHINDI..
Hivi mwenyekiti wa NEC bado hajajiuzulu?
Bullshit!
Ati Mbowe anaitisha kuvunjwa kwa NEC na kuundwa tume huru ya uchaguzi.
Hana jipya!