gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 14,677
- 18,265
Freemason hawasujudu, wangekua wanasujudu majumba yao yangeitwa msikitiHiyo habari BBC wameitoa kwa Kiswahili sio kiarabu hivyo wangesema msikiti na sio kanisa kwa haya maelezo yako.
Freemason hawasujudu, wangekua wanasujudu majumba yao yangeitwa msikitiHiyo habari BBC wameitoa kwa Kiswahili sio kiarabu hivyo wangesema msikiti na sio kanisa kwa haya maelezo yako.
Lile ni jengo la freemason. Wao mara nyingi wanapenda kuita loji kuwakilisha majengo yaoMmhh kwahiyo hiyo freemason Hall ya posta ni Lodge na hamkuwahi kutuambia
Kanisa kiarabu babu,acha uwongo,na msalaba ni kiarabu pia, kadhalika masihiKanisa ni watu walioitwa na Mungu kwa ajili ya kusudi la Mungu. Ni watu waliookolewa. MDO 2:47.
neno kanisa limetokana na neno la kigiriki "ekklesia" ikimaanisha kusanyiko la watu wa Mungu.
Ndiyo,hukaa tu kwenye vitiUlijuaje hawasujudu? Umewahi kuhudhuria shughuli zao??
Majini eti ni kweli huwa masali misikitini? Nilisikia sehemu kuwa majini ni ndugu wa waislamu, sina uhakika na hili naomba ufafanuzi mkuuTemplar including kina King James na wale walioleta version nyingi za Biblia ni wao ... Rudi nyuma tafuta Historia ya Neno Kanisa.
Shetani anaishi kanisani kitambo Sana.
The church is primarily understood as the community of believers who follow Jesus Christ. This includes all individuals who have faith in Christ, regardless of denominational affiliation. This community is often referred to as the "Body of Christ," indicating that all members are interconnected and play a role in the spiritual life and mission of the church.Kanisa kiarabu babu,acha uwongo,na msalaba ni kiarabu pia, kadhalika masihi
Ungemuuliza yesu maana alikua akiyatoa sana, kadhalika wakristu kanisani huko kutwa wahangaika na majiniMajini eti ni kweli huwa masali misikitini? Nilisikia sehemu kuwa majini ni ndugu wa waislamu, sina uhakika na hili naomba ufafanuzi mkuu
uwongo gani? Kasome Waefeso 1:22-23 uelewe maana ya KANISAUwongo, kanisa neno la kiarabu likimaanisha sehemu ya kuabudia ya wasokua waislam
Can't be body of christ because christians eat sacramento as a body of christThe church is primarily understood as the community of believers who follow Jesus Christ. This includes all individuals who have faith in Christ, regardless of denominational affiliation. This community is often referred to as the "Body of Christ," indicating that all members are interconnected and play a role in the spiritual life and mission of the church.
Unajua kusoma kiarabu?uwongo gani? Kasome Waefeso 1:22-23 uelewe maana ya KANISA
Mtumwa huna hoja Zaid kuleta hisia na kuonesha akili yako ilivyo ndogo kwa kuangalia picha na kuhitimisha huyu atakuwa muislam.Majini eti ni kweli huwa masali misikitini? Nilisikia sehemu kuwa majini ni ndugu wa waislamu, sina uhakika na hili naomba ufafanuzi mkuu
are u a Christian. !?Can't be body of christ because christians eat sacramento as a body of christ
Since they have rituals, it's a religionFreemasons sio Dini
I ain't that dumb assare u a Christian. !?