BBC wako sahihi kuita jengo la Freemason kanisa?

BBC wako sahihi kuita jengo la Freemason kanisa?

A meeting place of an organization such as the freemasons known as lodge na sio church/kanisa
 
Sana, kwamba ni mmoja,hakuzaa wala kuzaliwa hafanani na chochote,kule kwingine sasa
yeye ndo baba pia ndo mwana. alikatwa govi, alichambwa kimba, alikuwa na njaa 40 days, pilato alimpigilia 9 inches then dunia siku 3 haina muumba wao (nonsense kabisa) mungu maiti!? eeeeh!?. سبحان الله
 
Kwa kifupi freemason hawana makanisa wana masonic lodge, ndivyo wanavyoyaita majumba yao ya kukutanikia kufanya mambo yao
tulia wewe sisi waswahili Masonic Lodge kwa lugha yetu adhimu ya kiswahili tunaita Kanisa. kadhalika Church tunaita Kanisa vilivile
 
Huna hoja kaa chini...
Kaanzishe thread yako ya hizo hoja zako...hapa tunaongelea topic moja "

BBC wako sahihi kuita jengo la Freemason kanisa?"​

Link ya BBC

Sasa shida ilikuwa wapi kuweka uthibitisho wa BBC.

Next je BBC wameita hilo jumba ni kanisa kama mleta mada alivyodai.

Kwetu usingizi tayari.
 
Hizo community zina mkono wake hata kwenye taasisi karibu zote za kidini hasa Abrahamic religion
 
Sasa shida ilikuwa wapi kuweka uthibitisho wa BBC.

Next je BBC wameita hilo jumba ni kanisa kama mleta mada alivyodai.

Kwetu usingizi tayari.
Una shida kwenye mtiririko wa mawazo nenda kasome post zangu ulizo-quote.

Tafuta wewe huo uthibitisho usinipotezee muda
 
Hapana wangesema Msikiti ws Freemason.
Msikiti(masjid) ni sehemu ambapo mtu husujudu, sehemu ambapo watu hukaa kwenye mabenchi au kusimama wakifanya ibada(rituals) kwa kiarabu ni kanisa
 
Msikiti(masjid) ni sehemu ambapo mtu husujudu, sehemu ambapo watu hukaa kwenye mabenchi au kusimama wakifanya ibada(rituals) kwa kiarabu ni kanisa
Hiyo habari BBC wameitoa kwa Kiswahili sio kiarabu hivyo wangesema msikiti na sio kanisa kwa haya maelezo yako.
 
Back
Top Bottom