Mayor Quimby
JF-Expert Member
- Mar 13, 2021
- 6,750
- 14,529
Kila kitu rahisi Tanzania yetuWe fala nini!..mimi nilisikiliza jana jioni
Mtu kaweka picha na sub title, leta source ya link.
Unaleta hadithi za kusikiliza habari na matusi juu.
Kila kitu rahisi Tanzania yetuWe fala nini!..mimi nilisikiliza jana jioni
Wamesema hawana kodi ya kulipia pango lao.Kwan Freemason wenyewe wanasemaje.
Walitangaza hivyo jana na wapo sahihiKila kitu rahisi Tanzania yetu
Wapo sahihilikimaanisha nini?
TaahiraWalitangaza hivyo jana na wapo sahihi
Sana, kwamba ni mmoja,hakuzaa wala kuzaliwa hafanani na chochote,kule kwingine sasaAllah anaeleweka??
You are sickWalitangaza hivyo jana na wapo sahihi
Hata kodi ya nyumba huitwa kodi ya pango,pango ni kitu chochote chenye ombwe ndani,hata nyapu ukisoma kamusi utakuta neno pango kwenye tafsir yakeWamesema hawana kodi ya kulipia pango lao.
Umeshafanya kazi BBC mkuu?Regulations za U.K. kwenye maswala ya factual reporting.
Na hakuna taasisi ambayo ipo scrutinised kwenye standard of reporting kama BBC.
BBC haiwezi andika habari ambayo awawezi itetea kamwe.
Waseme habari za kanisa la Freemason, unaelewa mkurugenzi anaweza kwenye parliament committee, na media regulators kadhaa kuthibitisha hao Freemasons wanao miliki hilo kanisa.
BBC unatakiwa kuwa trustworthy ya habari, wanachoandika hizo information ni woththy of academic research reference.
Ndio maana nina uhakika mleta mada hawezi leta hiyo source miaka 800, kwa sababu BBC haiwezi andika upuuzi huu
We ni mental case na uraibu wako wa kiingerezaYou are sick
Chizi huyo achana naeUmeshafanya kazi BBC mkuu?
Hapana ila naelewa standards requirements za U.K. media na BBC expectations kwa walipa kodi.Umeshafanya kazi BBC mkuu?
pumbaavu unajua kama hata hilo neno kanisa unalolipambania limetoka kwa hao magaidi "كنيسة" {kaniysaH}. wanangu tafuteni jina lingine tu hilo waachieni Freemason au vipiBBC ni kikundi cha magaidi imeingiliwa na Muslim Brotherhood hata Waingereza wenyewe wanaipiga vita.
Kuna sababu uwa tunasema kwanini mambo ya msingi yanataka watu wenye akili.We ni mental case na uraibu wako wa kiingereza
Kwahiyo umeanzisha uzi ili ubishane au upewe jibu?Allah anaeleweka??
iko hivi, lodge is the place of the freemasons where they meet.Wapo sahihi
Huna hoja kaa chini...Usitafute neno linalo kufurahisha wewe kujengea hoja.
Habari ni ya kutunga, issue sio neno kanisa.
Issue ya msingi hiyo sio habari ya BBC hiyo ndio primary concern.
Sasa kama kuna kanisa hapo au kwenye hiyo picha mimi sijagusia.
Halikadhalika BBC haiwezi andika mambo ya freemanson.
Soma hoja za watu ujibiwe kwa hoja kutokana na msingi wa mchangiaji.
Sio kunilazamisha mambo ambayo sijaongelea.
BBC haiwezi andika habari kama hiyo, huo ndio msingi wa maandishi yangu, thibitisha hiyo ni habari ya bbc.
Sio kuniletea hadithi zingine za kutoka kichwani kwako.