freemason

Freemasonry or Masonry consists of fraternal organisations that trace their origins to the local fraternities of stonemasons that from the end of the 14th century regulated the qualifications of stonemasons and their interaction with authorities and clients. Freemasonry has been the subject of numerous conspiracy theories throughout the years. Modern Freemasonry broadly consists of two main recognition groups:

Regular Freemasonry insists that a volume of scripture be open in a working lodge, that every member profess belief in a Supreme Being, that no women be admitted, and that the discussion of religion and politics be banned.
Continental Freemasonry is now the general term for the jurisdictions that have removed some, or all, of these restrictions.The basic, local organisational unit of Freemasonry is the Lodge. These private Lodges are usually supervised at the regional level (usually coterminous with either a state, province, or national border) by a Grand Lodge or Grand Orient. There is no international, worldwide Grand Lodge that supervises all of Freemasonry; each Grand Lodge is independent, and they do not necessarily recognise each other as being legitimate.
The degrees of Freemasonry retain the three grades of medieval craft guilds, those of Apprentice, Journeyman or fellow (now called Fellowcraft), and Master Mason. The candidate of these three degrees is progressively taught the meanings of the symbols of Freemasonry and entrusted with grips, signs and words to signify to other members that he has been so initiated. The degrees are part allegorical morality play and part lecture. Three degrees are offered by Craft (or Blue Lodge) Freemasonry, and members of any of these degrees are known as Freemasons or Masons. There are additional degrees, which vary with locality and jurisdiction, and are usually administered by their own bodies (separate from those who administer the Craft degrees).

View More On Wikipedia.org
  1. Yoda

    JamiiForums Tanzania Haya maembe yasiyo na kokwa/mbegu yakifika bongo washamba hawatasema ni freemason au GMO?

  2. B

    JamiiForums Tanzania POTOSHI Picha hii ya Uhuru akiwa na tattoo ya Freemason ni halisi?

  3. BarakaMkekusi

    JamiiForums Tanzania Vita kati ya freemason na kanisa katoliki

    June 24 mwaka wa 1717 kundi la freemason walifanya kikao sehemu iitwayo Gridion ambayo ilikuwa katikankiwanja cha mtakatifu paulo huko wingereza.. Kwenye kikao hicho moja ya ajenda kubwa ilikuwa ni kuunganisha kundi la freemason liwe moja, kwa maana kipindi hicho walikuwa wamegawanyika bila ya...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Je, Ni kweli kuna pesa za freemason?

    Hello, Mara nyingi nimesikia stori za watu kuwa kuna pesa za freemason,. Ingawa mimi binafsi naona ni utapeli ulioanzishwa na watu hasa mitandaoni ili kutapeli watu. Je, ni kweli kuna pesa za freemason?
  5. Bwege2030

    JamiiForums Tanzania Jioni ya Agosti 3, 2009, mwanamitindo mchanga Gabriela Rico Jimenez aliwashangaza watazamaji kwa mlipuko

    Mwanamitindo mchanga kutoka Mexico , Alikuwa na umri wa miaka 21 aliomba kujiunga na Elites ili apate Uhuru wa kimaisha akakataliwa kujiunga nao mpaka pale atakapokula mtu.. Jioni ya Agosti 3, 2009, mwanamitindo mchanga Gabriela Rico Jimenez aliwashangaza watazamaji kwa mlipuko usiotarajiwa nje...
  6. Yoda

    JamiiForums Tanzania BBC wako sahihi kuita jengo la Freemason kanisa?

    Kwa nini wasingeandika ukumbi au hekalu/kanisa/msikiti??
  7. Royal Son

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kaunti ya Nairobi yafungia kanisa la freemason kwa kutoka na deni la mamilioni ya pesa

    Serikali ya Kaunti ya Nairobi imefunga Jumba la Grand Lodge linalotumika kama Ukumbi wa ibada kwa wa waumini wa Freemasons wa Afrika Mashariki lililopo katikati mwa jiji kutokana na na malimbikizo ya deni la ardhi kiasi cha Shilingi milioni 19 za Kenya Operesheni ya utekelezaji hiyo...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Naomba tafsiri ya ndoto hii - nimejikuta katikati ya Freemason assembly

    Majuzi majira ya saa mbili asubuhi ( wakati sikukuu za pasaka), nilipitiwa na usingizi nkiwa nimelala na mtoto wangu mdogo wa kiume alikuwa pembeni yangu. Mara nkaota nko kwenye ukumbi mithili ya theatre za kumbi za cinema kukiwa kumejaa watu wa heshima japo sikuwatambua Katika kuwaza kwangu...
  9. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Freemason wapo

    Freemason ndio walioongoza American Revolution of 1776. Pia Freemasons wameiratibu French Revolution ya 1789. Na mambo mengine mengi katika historia yamefanywa na Freemasons. Siku hizi kuna confusion , Freemason inaonekana tu kama Chama cha watu wanaotaka kujidhadlilisha. Lakini haya mambo...
  10. Just Pray

    JamiiForums Tanzania Watu 13 wakamatwa wakijifanya viongozi wa Freemason na kufanya utapeli

    Jeshi la Polisi mkoani Rukwa kwa kushirikina na Mamlaka ya Mawasilino Tanzania TCRA limeanzisha operesheni ya kuwabaini watu wanaojihusisha na utapeli kwa njia ya mtandao na kufanikiwa kuwakamata vijana 13 wenye umri kati ya miaka 17 hadi 32 kwa tuhuma za kuwatapeli wananchi kwa kuandika ujumbe...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Freemasons mbona mmetuletea Elon Musk?

    Mzuka wanajamvi! Freemasons tafadhalini muondoeni Elon Musk kwenye hiyo nafasi na hata kumi bora hasiwepo. Yani mmetuletea mtu wa ajabu sana. Yani bora nyakati zile mlituwekea kina Bill Gates na Warren buffet. Bill Gates alikuwa mtu poa sana hata Africa alikuwa anakuja na kula ubwabwa...
  12. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania Makala mengi kuhusu Freemason yanatofautiana sana. Naamini hakuna mwenye concrete info juu yao. Hii ni ishara jinsi gani FM walivyo na weledi mkubwa.

    Tena unaweza kuta hata hawajiiti Freemason 😂 Yani sisi tuendelee na wale freemason wetu wa "kujiunga freemason 5000" 😂 Anyway, Kujua info ya mtu ni kummudu, namaanisha kama hawa jamaa wangejulikana kwa kina kuhusu utendaji wao basi ingekuwa rahisi wao kuwa infiltrated na kuwa dis-organized...
  13. sergio 5

    JamiiForums Tanzania ELON AKIWA ANAONGEA LAZIMA AJISAHAU AONESHE FREEMASON SATANIC SYMBOLS

  14. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Ulimwengu mikononi mwa Freemason, Satanism na Paganism

    Asili inachukua mkondo wake.. Dini zilizotegemewa kama kimbilio la kumuokoa mwanadamu kiroho sasa zinashuhudia anguko kubwa kuliko wakati mwingine wowote ule Kwasasa dini nazo ni mateka wa imani za siri za kidunia.. Na hapa namaanisha dini zote zinazomuabudu Mungu moja Kwasasa dini zetu . Ni...
  15. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mama akataa zawadi ya gari kutoka kwa mwanawe, adai 'hili ni Jeneza', amshutumu kwa Freemason

    Mwanamke mmoja ambaye anadaiwa kuwa ni Mama wa msanii wa muziki Bongo, Hamisi 'Tajiri Chui' Mwelemi amekataa gari jipya alilopewa na mwanawe huyo, akidai kuwa zawadi hiyo inahusiana na shughuli za Freemason. Akiwa na msimamo mkali, mama huyo alidai gari hilo "ni jeneza" na kuonya kuwa hataki...
  16. Forrest Gump

    JamiiForums Tanzania Ujuaji mwingi wa Waafrika kuhusu mambo ya imani ndio unafanya wao kuwa watumwa kwa watu wengine

    Mbona hatujapata sasa suluhisho la haya yote. Maana ujuzi halisia wa kitu ina maana hauwezi tena kuwa mtumwa wa kitu hicho. Unaweza kuta mtu anaandika kwa uhakika kuwa sababu ya magumu yako ni nyota yako imeharibiwa au dhambi zako lakini unashangaa kuna tajiri mmoja yupo ana dhambi zaidi yako...
  17. wa stendi

    JamiiForums Tanzania Hivi haya mabango "jiunge freemason na mganga wa jadi kutoka mkoq wa "yanabandikwa saa ngapi.

    Habari za siku nyingi wadau..na poleni kwa yanayoendelea hapa nchini. Nilikuwa nauliza haya mabango ya "jiunge fremason au mganga wa jadi kutoka labda tanga tunayokutana nanyo kwenye baadhibya nguzo za umeme au kuta za nyumba pembezoni mwa badabara hivi ni watu wa kawaida wanabandika au ni...
  18. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Mwandishi nguli, Shaaban Bin Robert alikuwa ni Freemason?

    Kwanza nianze kwa kusema kuwa ufreemason unaozungumzwa hapa si ule wa kwenye nguzo za umeme. Ni ule wa watu wenye fikra huru wanaokusanyika pamoja ili kuboresha maisha ya binadamu. Kwa nini nauliza iwapo Shaaban Robert alikuwa ni freemason? Kuna huu ushahidi. 1. Nilikuwa nasoma kitabu cha...
  19. gstar

    JamiiForums Tanzania Freemasons na siri ya namba 255

    Freemasons ni kikundi cha siri kinacho ratibu na kuongoza kila kitu katika hii dunia. Kikundi hicho cha siri huratibu mambo yake kwa kushirikiana na baadhi ya wawakilishi wake wachache katika kila nchi. Unaweza kuona mambo yakiwa yanaendelea kutokea katika dunia kama kawaida lakini kuna siri...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Ni fikra za umaskini zinazofanya watu wafikiri kila aliyefanikiwa ni freemason ama atoa kafara au chuki dhidi ya waliofanikiwa?

    Habari zenu ndugu zangu. Kuna mambo Huwa nashindwa kuyaelewa. Watanzania tumekuwa na kasumba za ajabu, Umaskini wa baadhi umetufanya tuwe na roho mbaya, chuki, husda Kwa waliofanikiwa bila hata sababu ya msingi. Nimeshuhudia na kusikia hadithi za watu wengi waliofanikiwa sehemu ninazoishi...
Back
Top Bottom