Regulations za U.K. kwenye maswala ya factual reporting.
Na hakuna taasisi ambayo ipo scrutinised kwenye standard of reporting kama BBC.
BBC haiwezi andika habari ambayo awawezi itetea kamwe.
Waseme habari za kanisa la Freemason, unaelewa mkurugenzi anaweza kwenye parliament committee, na media regulators kadhaa kuthibitisha hao Freemasons wanao miliki hilo kanisa.
BBC unatakiwa kuwa trustworthy ya habari, wanachoandika hizo information ni woththy of academic research reference.
Ndio maana nina uhakika mleta mada hawezi leta hiyo source miaka 800, kwa sababu BBC haiwezi andika upuuzi huo.