BBC wako sahihi kuita jengo la Freemason kanisa?

BBC wako sahihi kuita jengo la Freemason kanisa?

bado tu unaendelea kutumia google translate. andika kwa namna inayohitajika. kama hujui mimi natumia simu ya kitochi so vibox vya google translate naviona kaka. aljunuwn funuwn. laa 'ikla laka
Nani kakwambia natumia google?kijana mbona hujiamini?
 
Kijana Mimi Uislamu sijaukuta barabarani,nimezaliwa humo nimesoma madrasa Hadi chuo cha Al Azhar University hapo Cairo ,
Mimi nimeukana Uislamu fī jawfi al-masjid (في جوف المسجد) nikiwa katikati ya masheikh, lakini walipokumbana na maswali ya istibṣār (استبصار) wakashindwa, wakatoa jawābāt mu‘āmah (جوابات مُعَامَة) ,
Mimi si mfuasi wa taqlīd al-a‘mā (تقليد الأعمى). Kama uhuru wa fikra ni ukafiri, basi mimi ni kāfirun ‘ārif (كَافِرٌ عَارِف). Abū Jahl alipinga kwa nasaba, mimi napinga kwa burhān wa bayān (برهان وبيان).

Sisi wanazuoni tuna msemo wetu
"lā taqūlū ‘alā Allāh mā lā ta‘lamūn" (لا تقولوا على الله ما لا تعلمون).
mwanazuoni wa mchongo kama kweli wewe ni 'alim usitumie google translate. Unazoa mashabiki kwa taqiyyah na ghish
 
Kwa nini limefungwa ndivyo swali la kuuliza.
Kwa kawaida yanayofungwa ni makanisa ya Kikristu.
 
Endelea kulalamika ,Mimi sitoi Tena ilimu bure
ilimu ndo nini? na bado unajiita umesoma tu, kusoma gani huko na jahala kubwa kama hii unayoionesha hapa jukwaani ilhali hata tamhiyd hujanusa. vipi umechoka kutumia google translate?. anyway turudi kwenye mada ya msingi kuhusu kanisa bado hujatoa hoja zakueleweka mwanazuoni wa mchongo.
 
Yoda mwambie mwanazuoni wenu wa mchongo ajibu comment #178. asirukeruke na kiarabu chake cha copy & paste za google translate.
 
Yoda mwambie mwanazuoni wenu wa mchongo ajibu comment #178. asirukeruke na kiarabu chake cha copy & paste za google translate.
Mkuu heshimu wanazuoni bila kujali tofauti za kiitikadi, mimi nimejifunza mengi kupitia darsa alilolitoa.
 
Kihebrew neno knesia = kanisa

Hebrew uses the word "knesia" (כנסיה), meaning "church
 
Mkuu heshimu wanazuoni bila kujali tofauti za kiitikadi, mimi nimejifunza mengi kupitia darsa alilolitoa.
mnajidhalilisha sana, kujifanya munama'alumat kwa matuzi ya google translate. Jamaa ako anadanganya kasoma dini jamiatu al-azhar cairo, akiulizwa kuhusu muhaamil kipindi yupo chuo anakimbia. and still you call this junuwn mwanazuoni. Ushauri wangu kwenu, ni vyema mkatoa hoja nondo kutoka kwenye maandiko kama afanyavyo dada yenu Setfree, yupo makini sana and you'll never find this lady akitumia uongo na ulaghai wakujifanya anamadegree ya elimu ya kiislamu ili kufanikisha mahubiri. Setfree wape vijana wako elimu ili wasikurupuke
 
Mtumwa huna hoja Zaid kuleta hisia na kuonesha akili yako ilivyo ndogo kwa kuangalia picha na kuhitimisha huyu atakuwa muislam.
Pole Sana kwa kukumbatia ukoloni.
Mkuu mimi nimeomba ufafanuzi tu kutoka kwako, mbona unanishambulia hivi! Swali langu ni je majini ni ndugu wa waislamu na ni kweli huwa yanasali misikitini?
 
Back
Top Bottom