Battle: Dar es Salaam vs Nairobi


IMG_7211.png

On the contrary, Tanzanias are so bitter about Kenyans 😂😂 what did we do to you majirani 😂😂
IMG_7212.png
IMG_7213.png
IMG_7214.png
IMG_7215.png
 
My friend wacha train
Nataka ufuate hii story ya tropical air, kuanzia buying a brand spanking new airbus heli,unwrapping, putting it together na paint job

View: https://www.instagram.com/reel/C19UhrsIR98/?igsh=MWFyOHM3bWRxYW90ag==


View: https://www.instagram.com/reel/C1__bF3o6No/?igsh=ZnV4MmQzdmo3a2I3


View: https://www.instagram.com/reel/C2HfbHUootW/?igsh=MTc2cDVjYW5yM2F2dg==

Pale KQ Hangar huwa wanafanya complete engine overhaul na paint job including the crazy livery that stand out at the biggest airports like JFK

View attachment 2872686

Mwisho tarehe 22 jan kukanyaga TZ hiyo miscraper yenu
 


Hili jambo inatakiwa limalizwe na wataalam husika kutoka katika taasisi za usimamizi wa mambo ya Anga. Kusiwepo room ya wanasiasa kuingilia mchakato huo.

Mpaka wote watakapo fikia muafaka bhas hao wanasiasa ndio waingie Ku harmonize makubaliano na ushirikiano wa nchi mbili hizi.
 
Back
Top Bottom