Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

My friend wacha train
Nataka ufuate hii story ya tropical air, kuanzia buying a brand spanking new airbus heli,unwrapping, putting it together na paint job

View: https://www.instagram.com/reel/C19UhrsIR98/?igsh=MWFyOHM3bWRxYW90ag==


View: https://www.instagram.com/reel/C1__bF3o6No/?igsh=ZnV4MmQzdmo3a2I3


View: https://www.instagram.com/reel/C2HfbHUootW/?igsh=MTc2cDVjYW5yM2F2dg==

Pale KQ Hangar huwa wanafanya complete engine overhaul na paint job including the crazy livery that stand out at the biggest airports like JFK

View attachment 2872686

Mwisho tarehe 22 jan kukanyaga TZ hiyo miscraper yenu
 


Hili jambo inatakiwa limalizwe na wataalam husika kutoka katika taasisi za usimamizi wa mambo ya Anga. Kusiwepo room ya wanasiasa kuingilia mchakato huo.

Mpaka wote watakapo fikia muafaka bhas hao wanasiasa ndio waingie Ku harmonize makubaliano na ushirikiano wa nchi mbili hizi.
 
Surely these people must have known this was coming

Surely these people must have known this was coming. I mean it was just a few years back this happened:


I'm shocked they didn't anticipate this and have a plan ready for when the inevitable would occur.
 
Walikuwa wanamuona Magu mjinga. Leo wanapita njia zile zile. Hawa ni kama nyani ukiwachekea utavuna mabua.
I think protectionism haina nafasi kama tunataka kuendelea as a block East African airspace is supposed to be one no need of applications for permits just notification of intention should suffice to obtain access.
We should move on as a block and not individually as is the case now.
Custom union is limping, common market ndio hivyo we are trading jabs, common currency ni squabbles over location ya EA monetary institute, political federation ndio usisrme iko ngambo ya mto. Lakini ukiangalia kwa undani kuna member mmoja ndio tatizo huwa anaanzisha chokochoko akizidiwa kidogo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom