Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

bado kq wa favor kubwa huku TZ,wanatua dar mara 2 hadi 3 kwa siku,wanatua KIA na ZNZ,wanatua zaidi TZ hata huko kwao,juzi jmosi kicargo chao pia kilikua dar,kwenye hayo mazungumzo wangeangalia yote na ukifikiwa muafaka wapunguziwe hizo route kulinda maslahi ATCL
Biashara inapaswa kuwa free kwenye economic block competition is good for growth. Tujiandae tuu kuteka soko la maua Kenya hopefully competition itawa favour wakukima wa maua kwa kuwapa option zaidi kwenye rates za mizigo.
 
Huwa hamna diplomacy. Mnapenda kupiga kelele ndio msikike mababe. Mambo ya kutoelewana yapo Sana kwa biashara Ila nyie likitokea jambo kama hilo mnapiga kelele jinsi mlivyodeal nalo halafu mnarudi kukubaliana. Hiyo contract hamjui nini kipo ndani na hata mkijua hamtoelewa maanake nyie Sio experts Ila government yenu kawaida inaona fursa ya kujionyesha kwa wananchi wajing jinsi ilivyo babe. Mnakuwanga na ufala Sana Na hizo loud declarations zenu.
Unalia ukiwa wapi Mukuru kwa njenga ama?
 
Wabongo tumewazoea na hii tabia yenu ya kulialia kila mara. Hakuna vile tutawapea 5th freedom of air yet sisi ndio tulia apply wa kwanza back in 2021 na mukatuweka pending till date. Nyinyi munataka the same 5th freedom of air bila reciprocity. Hio hatuwezi kubali.
Too late my friend the permit has already been issued to ATCL. keep your reservations to yourself.
 
Kama kawaida they haven't read the MOU, wanakuanga bongolala sana, chochote their government says wanaamini ni ukweli. Hio 5th freedom of air right hawaipati untill ours is reciprocated. It's that simple.
Hata hao wazungu wenye share KQ wanawashangaa jinsi mlivyo bogus kwenye decision making
maana mnatishia amani ya mitaji yao ndani ya KQ.
KQ ukiondoa route ya Dar tuu inakuwa kama Afghanistan airline 😁
 
Ni wapi umeona mkenya akisema ni tukio la kihistoria?
Fuatilia walioipokea Mombasa walisherehekea kwamba meli kubwa imegungua mwaka Mombasa Port.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😁😁😁😁😂😂👇👇
Screenshot_20240116-174517.jpg
 
hatuna tunachokipata huko,kwenye hili nyie ndie mtakaeumia imagine per week kq ina route zaidi ya 20 ndani ya TZ while ATCL huko kwenu route zake azifiki hata 10,halafu kama hamna cha maana mnachokipata huku mngekula kimya baada ya hii ban
To be precise they have 33 frequencies per week. Hii ni wastani wa karibia flights 5 per day nchi gani nyingine wanaweza kupata ruhusa kama hiyo sisi tunawastahi tuu hawa wakora ila hawajiongezi.
This route is the most profitable kwa KQ na kama sikosei inachangia zaidi ya 40% kwenye income ya KQ.
 
Back
Top Bottom