Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi


2024 Ni mwaka mwingine wa utalii:

Meli kubwa ya kifahari duniani, Norwegian Dawn, leo imetia nanga Bandari ya Dar ea Salaam ikiwa na abiria 2,200. Ni meli yenye urefu wa karibu viwanja vitatu vya mpira, kimo cha zaidi ya nusu uwanja, uwezo wa kuwa na watu ndani yake (wakiwemo wafanyakazi) jumla 2300 na ikiwa na vyumba vya kulala takribani 1,000 na maeneo mbalimbali ya kupumzika na burudani.

Na hii hatujamaliza. Mwezi Machi, 2024 meli nyingine za kifahari zinatua Bandari ya Kilwa.

1705406729545.png


1705406797435.png
 
Hii tweet uliyopost umeisoma.? 😂😂😂 Hiyo meli ndio mara ya kwanza kufika mombasa pia, haya heb niambie mmezoea meli kama hiyo kufika hapo kuanzia lini.? 😂😂😂😂
Imeandikwa the first cruise vessel of the year, hakuna mahali imeandikwa ni tukio la kihostoria kama vile mumeandika.
 
Back
Top Bottom