Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wameanza, tukivuta kende utasikia Zakayo kakimbilia Chamwino😅😅
Tunawakumbusha tuu,hater wenzao Malawi wameachia.Tuna vingi vya kuwanyoosha.

Ishu ya Bandari,Sgr,bwawa la umeme,Eacop,Dola crisis etc imewauma sana.

Hao mbwa si juzi tuu walikuwa wanajipitisha kuomba dawa? Au Walinyimwa wanatikisa kiberiti? 😂😂
 
Mungiki wameyakanyaga, wameyatimba 😆😆😆
 
Attachments

  • 84F9C007-72F7-45A3-A72F-F5C6CE92792D.jpeg
    84F9C007-72F7-45A3-A72F-F5C6CE92792D.jpeg
    374.9 KB · Views: 3
Mwendo mdundo,ukimwaga mboga wanamwaga Ugali ,Mkunya sio mtu mzuri wa kuchekea View attachment 2872714
Mama yangu!! Acha tuone watareact vipi. Kumbe yule boss wa KQ kujifanya kuja bongo kuangelea biashara ya Cargo na ATCL kumbe ulikua usanii tu. Na kwa hizo 3 daily flights zao, sijui ni 5x tuone itakuwaje sasa. Rwanda, Uganda airlines, air Malawi wapo kuchukua wateja wao. Sisi hatuna shida. Acha tuone wao sasa!!
 
Wanaumia roho Kwa wivu hao mbwa ni balaa.

Lakini this time itawakata maana hatuna Cha kupoteza,walizingua kununua mahindi wakajua yatadoda lakini wapi mambo yanaenda tuu.

Wakileta huo ujinga watakaoumia ni wao,Tzn inafahamu kwamba Wakunya sio soko la kulitegemea tena.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom