NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 16,388
- 17,969
Mada ndio hii hapa. Mmeandika kwa media zenu Kijabe Dam imeburst. Ebu nionyeshe hiyo Kijabe Dam. buffalo44 alafu mnaanza kulia eti media za Kenya zinawaharibia jina.Mada ni Mafuriko
Mada ndio hii hapa. Mmeandika kwa media zenu Kijabe Dam imeburst. Ebu nionyeshe hiyo Kijabe Dam. buffalo44 alafu mnaanza kulia eti media za Kenya zinawaharibia jina.Mada ni Mafuriko
Kwenye station zozote wakenya wakae mbali
As long as zinaenda mwendo wa kobe, na ni garimoshi there is nothing about luxury!
Kwa hiyo hii ni media ya Tz sio?Mada ndio hii hapa. Mmeandika kwa media zenu Kijabe Dam imeburst. ...
Madawa na ChakulaTanzania iko na nini ya kuomba?
As long as zinaenda mwendo wa kobe, na ni garimoshi there is nothing about luxury!
Lini lilifika Mombasa ndani ya saa 2?
Hii nayo ni media ya Tz?Thank you Geuza Ulale for explaining to foolish Bongolalas that there is no dam in Kenya called Kijabe Dam.
Leta video imefika 200 mm nifunge ACC forever 😅😅😅😅 ikiwa Mombasa to Nairobi 470km inachukua 6 hours ni sawa na average ya 80km/hr lini ilifika 200km na lini itafika hio speed
Hio dash inaweza kusoma hata 300kph onesha video ikienda hio 200kph. Kuna VW Golf 2.0Fsi dash inasoma 260kph na kuna Nissan Patrol Y62 dash inasoma 240kph. Hio VW haizidi 210kph wakati hio Nissan inamaliza 240kph ndani ya muda mfupi sana. I'm talking from experience!
Dont count your chickens........you know what you got and what they promised you.