komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
Kwn mlijenga lini airport nyngine
Habari ya Airport tulishamaliza, Tulishafunga Hesabu
Habari ya Airport tulishamaliza, Tulishafunga Hesabu
We komora endelea kulala usingizi wa pono wewe unafikili kelele za wakenya kuhusu airport humu jf zilikata bure waulize wakenya wenzako watakuambiaKwn mlijenga lini airport nyngine
Acha uongo labda mabibo ,mtongani,mwananyamala ,gongo la mboro etc,huko dah! Vyuma vilikazwa kitambo tu .Nilikosea ni ksh50 siyo 90 dar ugali na mboga 4 hadi 5 ni ksh45
Sisi soda zetu ni 300 ml na 500 ml ,300 ml ni 30 Bob na 500 ml ni 40 Bob Tu.Hivi wakenya huwa mnatusema sisi watz kuwa atutembei mbona hata nyinyi amjui chochote tz soda ya fanta 250ml ksh24 sawa na tsh500
Na ujue hio kibra ni eneo Bunge ambalo linajumuisha ,Ayanyi, Kenyatta,ngumo, Woodley,na some part of upper hill na kibera slum halafu utaona watanzagiza wanakuambia watu 2.5 million wanaishi kibera.Nairobi census 2019 View attachment 1254007
Hio ni mathare eneo Bunge sio mathare slum, maana hio sensasi imekwa ki eneo Bunge wala sio ki estate.I see Mathare, n how about Kibera?
Mm nipo hapa airport yaani chakula unawekewa mboga tano njegere dagaa tembere kabeji na nyama Tsh1000 kama tena unaletewa hadi ofisiniAcha uongo labda mabibo ,mtongani,mwananyamala ,gongo la mboro etc,huko dah! Vyuma vilikazwa kitambo tu .
Kibera sio kibra, kibera ni slum Ile Ila kibra ni Jimbo au eneo Bunge ambalo linajumuisha Ayanyi,Kenyatta,ngumo, Woodley na some part of upper hill.Kibera/Kibra ipo. Chanzo cha kuweka hiyo data ni kukanusha kauli ya wenzako humu JF wanao sisitiza kibera/kibra ina watu milioni 2+
Kweli ili kualalisha hoja hiyo wakajidai wamegundua mgodi watanzanite kenya ili wazidi kuujumu tz ila magufuli kawakomeshanyangau hapa wanazidi kuweweseka, walikuwa wanajitangaza Tanzanite inatoka kunyaland
We komora endelea kulala usingizi wa pono wewe unafikili kelele za wakenya kuhusu airport humu jf zilikata bure waulize wakenya wenzako watakuambia
Basi unakula kwenye vibanda vya mama ntilie, maana Dar naifahamu vizuri tu hakuna hoteli au mgahawa ma hadhi ambao unauza chakula Kwa hio bei,Mm nipo hapa airport yaani chakula unawekewa mboga tano njegere dagaa tembere kabeji na nyama Tsh1000 kama tena unaletewa hadi ofisini
Mkuu salute. Nilitaka niongeze like nyingine..na nyingine tena.Hilo unaongea ni la maana sana....ila ki ukweli ATC waingie kwenye Cargo Bussiness hili soko litawalipa sana ..hasa kwa ku export mazao yetu nje
Holticultrure inaweza kuingiza foreign currency almost sawa na toursim ila tumelala bado ..na huo ni ukweli
1.Horticulture ina potential ya kutupa 1Bn usd in our economy
2.Fish and Fish processing angalau hata 500mil usd
3.Exports ya Honey.wine,Cotton na cofee hizo zote zinatupa pesa ya kutosha
Serikali iwavutie wawekezaji zaidi wa nje na wandani hasa kuwapa elimu vijana kuhus sector hizi ..na kuwawezesha...then after 3years tu order Airbus A330 2 cargo planes na B777F moja za mizigo ...tu expand cargo terminals za Mwanza Mbeya , Kia na Dar ..tu export vitu vyetu
Najua hao ni dagaa wa kutoka zenji wale wa bukoba huwezi ukapewa maana ni bei ghali, halafu nyama kipande kimoja unasherehekea ??Hahaha watanzania bana ,mna mambo ,kabeji! Heri mchicha nikionaga kabeji Kwa sahani nahisi kutapika Ila njegere zipo Sawa nazipenda.Mm nipo hapa airport yaani chakula unawekewa mboga tano njegere dagaa tembere kabeji na nyama Tsh1000 kama tena unaletewa hadi ofisini
Mods piga ban uyu muhuni wa kiberaKuna nchi ambayo ina mashoga hapa Africa kama Tanzania? Mombasa ina watu million moja tu hata kama kuna mashoga hawafiki elfu hamsini ukilinganishwa na Dar ambayo ina watu million sita ,kama Mombasa watu million moja kuna mashoga elfu hamsini Dar ya watu milloni hamsini kutakua na mashoga laki tatu na hamsini , sasa jiji lipi Lina mashoga wengi kama Dar na Tanzania Kwa jumla? Mnafirwa usiku na mchana hadi basi.

