1 more 787-8 dreamliner, 2 A220-300 plus 1 Dash 400 to be procured with 2020/2021 budget.

1 more 787-8 dreamliner, 2 A220-300 plus 1 Dash 400 to be procured with 2020/2021 budget.

Bila kusahau kuwa malipo ya sgr moro to singida haitakua habari tena, so malipo yanayoelezewa hapa ni kuanzia makutupora na kuendeleaSasa hivi zilizo kwenye pipeline ni jumla 14. inamaa zinaongezeka zingine nne.
Tutakuwa na jumla ya ndege 18.
View attachment 1255377
Nadhani kuna maelezo ya Boeing 787 Dreamliner moja. Hebu jaribu kunifafanulia. Maana tayari zipo mbili na zimelipiwa.zitakuwa hizo hizo 14
Nadhani itabidi tutafute maelezo ya kina. Ngoja niitafute hotuba ya waziri. Niweze kuisoma kwa kina niweze kujuaView attachment 1255404
Hapa jumla ndege zipo 13, ila nilivyoelewa malipo ya Two Airbuses na One Q400 yatatokana na budget ya 2020/2021. Hapo kuna Two Q400 in order ila moja inafika mwaka huu (malipo yake yametokana na budget ya mwaka huu 2019/2020)
Iliyoongezwa ni hio Dreamliner. Hivyo malipo ya Two Airbuses, One Dreamliner na One Q400 yatatoka budget ya 2020/2021
Rwanda hawana soko la ndani sababu nchi yao ndogo sana geographically, mtu hawezi kupanda ndege kwenye route ambayo unapanda basi kwa nusu saa umefika ndio maana hata mabasi yao kama trinity yapo kama ni mabasi ya Tanzania tu sababu wanategemea Tanzania abiria kwenda RwandaHilo ni jambo la msingi sana, route za Dar-Mwnz, Dar-Bkb, Dar-Kgm, Dar-Dom, Dar-Kia, Dar-Songwe, Dar-Znz. Zinalipa sana, kwa E.A hamna nchi ambayo ina soko safi la ndani kama Tz. Nchi ina International airports 5 ya 6 na 7 zipo mbioni (Msalato na Chato). Hizi za kawaida Magu anazifyatua kama matofali. In the near future route za Dom to and from Mwnz, Znz and Kia zitaongeza kitu pia. Huwaga nawaonea huruma Rwanda, hawana kabisa soko la ndani, Ug na yeye sioni kabisa ata airports ni tabu.
Nadhani mwandishi wa habari kachemsha hapo.View attachment 1255404
Hapa jumla ndege zipo 13, ila nilivyoelewa malipo ya Two Airbuses na One Q400 yatatokana na budget ya 2020/2021. Hapo kuna Two Q400 in order ila moja inafika mwaka huu (malipo yake yametokana na budget ya mwaka huu 2019/2020)
Iliyoongezwa ni hio Dreamliner. Hivyo malipo ya Two Airbuses, One Dreamliner na One Q400 yatatoka budget ya 2020/2021
True.. Rwandair inawakati mgumu. SGR ikiisha itatoa challenge sana kwa ATCL, ila ni vizuri kwa mlaji. Ata wanaoelekea Kagera wataweza ku opt SGR.Rwanda hawana soko la ndani sababu nchi yao ndogo sana geographically, mtu hawezi kupanda ndege kwenye route ambayo unapanda basi kwa nusu saa umefika ndio maana hata mabasi yao kama trinity yapo kama ni mabasi ya Tanzania tu sababu wanategemea Tanzania abiria kwenda Rwanda
ATCL inapata faida kubwa Sana kwenye route ya Dar Mwanza ila Subiri SGR ikamilike uone.
Kwahiyo iliwahi kupanda ligi ?? Na sasa imeshuka !!! Leo umekubali japo Kwa mafumbo Kwa sababu dar aijawahi kushuka inazidi kwenda mbele day to day Kwa kasi ya 5gMombasa imewashinda sembuse Kenya? Dar ilishuka ligi kitambo siku hizi inacheza ligi ya Mombasa
hapana kuna dreamliner ya tatu na aibuses A220-300 za tano na sita bajeti ya 2020/2021! Msemaji wa serikali kaelezea
Is this serious bro?1 more 787-8 dreamliner, 2 A220-300 plus 1 Dash 400 to be procured with 2020/2021 budget.
Good news,Tuendelee kutafuta pesa vifaa vyajaSasa hivi zilizo kwenye pipeline ni jumla 14. inamaa zinaongezeka zingine nne.
Tutakuwa na jumla ya ndege 18.
View attachment 1255377
Msisahau pia idadi za watu zinaongezekaTrue.. Rwandair inawakati mgumu. SGR ikiisha itatoa challenge sana kwa ATCL, ila ni vizuri kwa mlaji. Ata wanaoelekea Kagera wataweza ku opt SGR.
Yap msikilize Msemaji wa Serikali!Is this serious bro?
Nadhani itabidi tutafute maelezo ya kina. Ngoja niitafute hotuba ya waziri. Niweze kuisoma kwa kina niweze kujua

Magu yupo mbona mpaka 2025View attachment 1255517
Mbona maelezo yako clear kabisa, Airbus 2 na Bombadier ziliishalipiwa kwa budget ya 2019/2020 na delivery ni 2020. Airbus 2, Bombadier 1 na Dreamliner 1 kwa budget ya 2020/2021......hope hizo delivery itakuwa 2021 wakati Magu kastaafu![]()