Mambo niMwenge - Morocco


dar es salaam the pride of tanzaniaI see Mathare, n how about Kibera?Nairobi census 2019 View attachment 1254007
Tanga port ikiongezwa kina zaidi
Kibera/Kibra ipo. Chanzo cha kuweka hiyo data ni kukanusha kauli ya wenzako humu JF wanao sisitiza kibera/kibra ina watu milioni 2+I see Mathare, n how about Kibera?
Mtakuja kuua watu kwa pressure😁😁😁Mambo nidar es salaam the pride of tanzania
Yaani miradi yote hiyo ikikamilika no jams no floods itakuwa raha sana
Naona jinsi gani majirani nzetu wanavyotapatapa wanapoisikia kazi nzuri inayofanywa na mhe mkulu
Mtakuja kuua watu kwa pressure![]()


waache wafe tanzania mbele kwa mbeleDar es salaam Master Plan Map
View attachment 455887
View attachment 455884
View attachment 455890
BRT Master Plan Map
View attachment 455885
Kigamboni New City Map
View attachment 455886
Aisee kwakwel kasi ni kubwa mno haijawahi kutokea unaeza sema watu wanataka kuijenga Roma kwa cku mojaNiko Dar for the last 2 days, nitaondoka leo jioni, aisee mambo ni hatari, nchi inajengwa, nimepita kwenye miradi yote kama SGR, Ubungo interchange etc.. Kasi ni kali mno...
wakenya wanabaki kutumbua machoMwenge - Morocco
Tunataka dar vs Kenya sijui kama wakenya mtaweka wapi sura zenu baada ya mwaka ujao maana maelfu ya miradi yetu itakuwa imekamilika na pesa kuelekezwa kwenye mipango mipyaHuu uzi Sasa ubadilishwe uwe Tanzania vs Mombasa.
Mombasa imewashinda sembuse Kenya? Dar ilishuka ligi kitambo siku hizi inacheza ligi ya MombasaTunataka dar vs Kenya sijui kama wakenya mtaweka wapi sura zenu baada ya mwaka ujao maana maelfu ya miradi yetu itakuwa imekamilika na pesa kuelekezwa kwenye mipango mipya
Awwwwwwww, jealousy? Cute!Mombasa imewashinda sembuse Kenya? Dar ilishuka ligi kitambo siku hizi inacheza ligi ya Mombasa
Mombasa ya USA Au Kenya?Mombasa imewashinda sembuse Kenya? Dar ilishuka ligi kitambo siku hizi inacheza ligi ya Mombasa