Hivi wakenya huwa mnatusema sisi watz kuwa atutembei mbona hata nyinyi amjui chochote tz soda ya fanta 250ml ksh24 sawa na tsh500
maji yameenda kufanya practical chuoni [emoji23][emoji23]
Hiyo ndio sababu ya kujitetea? Huna aibu kabisa!Nairobi hakuna bahari, hko kwengine je, ipo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Comment zingine bana
😄😄😄😄😄😄Nairobi hakuna bahari, hko kwengine je, ipo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Comment zingine bana
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Hiyo ndio sababu ya kujitetea? Huna aibu kabisa!
Kweli kabisaWakat sisi tumetoa maji kutoka ziwa victoria mpaka tabora zaidi ya km 350
A fellow countryman! many of u in here r the same!Hyo yani hta hana ufahamu na hayo mambo kabisa...kisha naye ka post twitter
A fellow countryman! many of u in here r the same!
wanatapatapa now
wanatapatapa now