Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,894
- 103,758
Chuma cha tatu kimeagizwa😁😁😁
Dar imefikiwa na Mombasa already.Kwahiyo iliwahi kupanda ligi ?? Na sasa imeshuka !!! Leo umekubali japo Kwa mafumbo Kwa sababu dar aijawahi kushuka inazidi kwenda mbele day to day Kwa kasi ya 5g
Sindano imekuingia Hadi ukaandika shahiri 😂😂Du kwahiyo dar nako kunanuka mavi kama Mombasa maana Mombasa inakwenda chini ,
Simlikuwa mnasema dar va Mombasa kumbe mlijua Mombasa ipo chini ? Ukweli ni kuwa DAR ES SALAAM = NAIROBI + NAIROBI METROPOL + MOMBASA - SLUM
DSM= N + NP + M - SLUM

Du kwahiyo dar nako kunanuka mavi kama Mombasa maana Mombasa inakwenda chini ,
Simlikuwa mnasema dar va Mombasa kumbe mlijua Mombasa ipo chini ? Ukweli ni kuwa DAR ES SALAAM = NAIROBI + NAIROBI METROPOL + MOMBASA - SLUM
DSM= N + NP + M - SLUM
😂😂😂
Wakenya wana vituko sana,sijui ni umasikini,njaa ama nini