Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ukweli ni kwamba" domestic market" ndiyo inayofanya vizuri sana kwa ATCL, ikufuatiwa na "Regional" market, itachukua muda mrefu sana kwa International routes kufanya vizuri, ila kwasababu safari za ndani zinalipa, basi zitafidia hasara kwa safari za "International "
Lakini bado still utalii unaeza kutupa wateja kwenye international routes hope tutafanya vzr inshallah🤝🤝🤝
 
Nakubaliana kabisa na wewe lakini Dreamliner ya tatu sio mbaya, atleast wawe n a route ya Asia, Europe na America, tunahitaji atleast kuleta watalii wa maeneo hayo direct kwenye vivutio vyetu.

My point was that kwa hizo fleet walizonazo wapimwe kama watu ambao sasa wako full efficient kwenye business, wakihitaji ndege zingine wajinunulie wenyewe kutoka kwenye faida yao.
Hilo unaongea ni la maana sana....ila ki ukweli ATC waingie kwenye Cargo Bussiness hili soko litawalipa sana ..hasa kwa ku export mazao yetu nje
Holticultrure inaweza kuingiza foreign currency almost sawa na toursim ila tumelala bado ..na huo ni ukweli

1.Horticulture ina potential ya kutupa 1Bn usd in our economy
2.Fish and Fish processing angalau hata 500mil usd
3.Exports ya Honey.wine,Cotton na cofee hizo zote zinatupa pesa ya kutosha

Serikali iwavutie wawekezaji zaidi wa nje na wandani hasa kuwapa elimu vijana kuhus sector hizi ..na kuwawezesha...then after 3years tu order Airbus A330 2 cargo planes na B777F moja za mizigo ...tu expand cargo terminals za Mwanza Mbeya , Kia na Dar ..tu export vitu vyetu
 
Lakini bado still utalii unaeza kutupa wateja kwenye international routes hope tutafanya vzr inshallah🤝🤝🤝
Yes ni kweli tukiwa na startegic plan nzur...tunapokea tourist 1.5mil wakat tuna potential ya hata 5mil
..plan ni kufika 2m tourist by 2025 which is possible...maana ake hapo umeongeza seats laki 3-4 za ndege ATC tutapata share hapo
 
As Women are frequently harassed and Raped by the Matatu Hawkers and Cartels in Matatu trap in Nairobi The terrorism hotbed,

This is the Milestone that Dar has set for the past 5 years
and The lesson is those who initiate the Change always take the Leadership. I here humbly invite Kunyans from Banana Republic to come get Lessons for free.
IMG_5098.JPG
IMG_5103.JPG
IMG_5107.JPG
IMG_2839.JPG
 
Ukweli ni kwamba" domestic market" ndiyo inayofanya vizuri sana kwa ATCL, ikufuatiwa na "Regional" market, itachukua muda mrefu sana kwa International routes kufanya vizuri, ila kwasababu safari za ndani zinalipa, basi zitafidia hasara kwa safari za "International "
Hilo ni jambo la msingi sana, route za Dar-Mwnz, Dar-Bkb, Dar-Kgm, Dar-Dom, Dar-Kia, Dar-Songwe, Dar-Znz. Zinalipa sana, kwa E.A hamna nchi ambayo ina soko safi la ndani kama Tz. Nchi ina International airports 5 ya 6 na 7 zipo mbioni (Msalato na Chato). Hizi za kawaida Magu anazifyatua kama matofali. In the near future route za Dom to and from Mwnz, Znz and Kia zitaongeza kitu pia. Huwaga nawaonea huruma Rwanda, hawana kabisa soko la ndani, Ug na yeye sioni kabisa ata airports ni tabu.
 
Back
Top Bottom