Ppmosile
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 1,232
- 1,890
Dah itakuwa bata sana foleni zitapungua barabaraniNew ferry btn Magogoni to Mbagala Mwisho (Zakhem) on drawboard
Dah itakuwa bata sana foleni zitapungua barabaraniNew ferry btn Magogoni to Mbagala Mwisho (Zakhem) on drawboard
Siko tayari kufanya mabishi ya kijingaKwa hiyo nyani wote duniani sura zao ni nyeusi? Uko nyuma sana
Mimi naishi mbezi beach, nimetoka kuulizia sasaiv unga ni tzs 3200 for 2kg (1600@1kg) na huyo mlupo hajatuletea vyanzo vya kuaminika kuwa unga kwao ni ksh 127Hapo nilikosea kutype sasa sijui bado unaendelea kuongea nini au unazani kukosea hakupo
Mimi naishi mbezi beach, nimetoka kuulizia sasaiv unga ni tzs 3200 for 2kg (1600@1kg) na huyo mlupo hajatuletea vyanzo vya kuaminika kuwa unga kwao ni ksh 127
Wewe umeelewa nimemuita nani mlupo, sijamquote mtu hapo. Sasa itabidi utuambie nani ni mlupo?Mbona sasa umuite mwenzako "mlupo" yani kw kusema ukweli ndio uumie hvo
As we speak we are already ushering in a cruise ship in Mombasa with 400 tourists and a Crue of 300.utalii mwaka huu tupo vizur sana

sasawa
Wewe umeelewa nimemuita nani mlupo, sijamquote mtu hapo. Sasa itabidi utuambie nani ni mlupo?
I know you don't believe your eyes. These are Jumia prices of different brands of flour as at today, also remember that the price include delivery fee from the shop to your house.Mimi naishi mbezi beach, nimetoka kuulizia sasaiv unga ni tzs 3200 for 2kg (1600@1kg) na huyo mlupo hajatuletea vyanzo vya kuaminika kuwa unga kwao ni ksh 127
😄😄😄😄😄
Niliiona hii nikajiuliza kama ni kampuni mpya au ni ile ya Nyerere.Mecco imefufuka! Magu mzalendo
Nilikosea ni ksh50 siyo 90 dar ugali na mboga 4 hadi 5 ni ksh4580 kw vibanda watoto wa chuo wanapiga ugali nyama....
100 wanapiga sahani yao ya pilau + zaga zaga
Uache kuhadisiwa jomba...
Hivi wakenya huwa mnatusema sisi watz kuwa atutembei mbona hata nyinyi amjui chochote tz soda ya fanta 250ml ksh24 sawa na tsh500Nanunuaga 1 litre karibia kila siku...80 tu, mwnywe najiburudisha..