Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 15,300
- 33,628
Mungiki walioko twitter wako vizuri sana,hawa jf kila kitu wanabisha au sijui ndio kibera chang'aa effectwanatapatapa now
Mungiki walioko twitter wako vizuri sana,hawa jf kila kitu wanabisha au sijui ndio kibera chang'aa effectwanatapatapa now
Sasa wewe mtani unadhani...hanjee, mokimoo au githeri ndiyo chakula cha maana?Najua hao ni dagaa wa kutoka zenji wale wa bukoba huwezi ukapewa maana ni bei ghali, halafu nyama kipande kimoja unasherehekea ??Hahaha watanzania bana ,mna mambo ,kabeji! Heri mchicha nikionaga kabeji Kwa sahani nahisi kutapika Ila njegere zipo Sawa nazipenda.
wanapambana na effect ya loss making
The sad fact is that you can't do anything about it 😂 😂 😂 poor youGoT should not sit back and let this happen! all international PAX should enter Tanzania through International airports! Just like it is in Kenya! Direct connections to our parks from a neighboring country's international airport should not be allowed!
Ongeza volume,kwani kuna mshahara nikipigwa ban nitakosa kulipwa? Ama una macho kengeza huoni Yule mwenzako akituita mashoga unaona ya kwangu nikimjibu?.Mods piga ban uyu muhuni wa kibera![]()
What's so unique about this? Mbona unajaza sever na mambo ya kawaida hivi? Ama danganyika hizi ni vitu za ajabu sana??!!We have screen for each passenger
View attachment 1256221View attachment 1256222View attachment 1256223View attachment 1256224
u will see nothing of that sort will be allowed kq or safarilink will have to pick tourists from KIA or JNIA or AAKIA! but not from JKIA and direct to our national parks! that will never happen! We have brand new airline to cater for that n posed to grow to a fleet of 18 aircraft by 2021!The sad fact is that you can't do anything about it 😂 😂 😂 poor you
Sasa hanjee ndio nini? Mokimoo ni chakula kizuri Sana kama ilivyo wali vyote ni energy giving food .Sasa wewe mtani unadhani...hanjee, mokimoo au githeri ndiyo chakula cha maana?
Ndiyo imezinduliwa majuzi kubwa kuliko yenu dar kunaNdio inapaswa unambie km mlijenga airport kando na ile tunayoijua
Ni kwenye migahawa usidhani sisi waongo kama nyinyi chakula safi hadi wazungu wanaijenga reli ya sgr wanakula sehemunyingine sh1500 ndiyo bei ya juukabisa Kwa ugaliBasi unakula kwenye vibanda vya mama ntilie, maana Dar naifahamu vizuri tu hakuna hoteli au mgahawa ma hadhi ambao unauza chakula Kwa hio bei,
Hahaha naona kisu kimegonga mfuopa.What's so unique about this? Mbona unajaza sever na mambo ya kawaida hivi? Ama danganyika hizi ni vitu za ajabu sana??!!
Like I said, there's nothing you can do about it by just making noise from jfu will see nothing will be allowed kq or safarilink will have to pick tourists from KIA or JNIA or AAKIA! but not from JKIA and direct to our parks! that will never happen!
Is it your first time to travel in a bus with such services? 😳 😳 😳 😳 🤔🤔🤔Hahaha naona kisu kimegonga mfuopa.
Raha sana kusafiri kwa basi toka Dar to Dom
Haawapi dagaaa wenye bei na kupendwa Tanzania ni wakigoma ila awa ninaozungumzia niwa Mwanza ,dagaa wa nzanzibar hawapendwi huku darNajua hao ni dagaa wa kutoka zenji wale wa bukoba huwezi ukapewa maana ni bei ghali, halafu nyama kipande kimoja unasherehekea ??Hahaha watanzania bana ,mna mambo ,kabeji! Heri mchicha nikionaga kabeji Kwa sahani nahisi kutapika Ila njegere zipo Sawa nazipenda.
Naelewa kila mtu na chakula alichokizoea.Sasa hanjee ndio nini? Mokimoo ni chakula kizuri Sana kama ilivyo wali vyote ni energy giving food .
..kama Mombasa watu million moja kuna mashoga elfu hamsini Dar ya watu milloni hamsini kutakua na mashoga laki tatu na hamsini
Mwelimishe huyo, tena wa kiGoma ni ghali sana.Haawapi dagaaa wenye bei na kupendwa Tanzania ni wakigoma ila awa ninaozungumzia niwa Mwanza ,dagaa wa nzanzibar hawapendwi huku dar