Lwiva
JF-Expert Member
- Apr 17, 2015
- 21,157
- 29,775
Wakenya na takataka zao za matatu wanapita kimya kimyaWe have screen for each passenger
View attachment 1256221View attachment 1256222View attachment 1256223View attachment 1256224
Wakenya na takataka zao za matatu wanapita kimya kimyaWe have screen for each passenger
View attachment 1256221View attachment 1256222View attachment 1256223View attachment 1256224
This just shows the level of backwardness in Tanzania. Yani unafurahia kuona screen kwa backseat ya gari!! Wewe huenda ni mara yako ya Kwanza kuona kitu kama hii.Wakenya na takataka zao za matatu wanapita kimya kimya
Unique is very clean buseWhat's so unique about this? Mbona unajaza sever na mambo ya kawaida hivi? Ama danganyika hizi ni vitu za ajabu sana??!!
Nadhani level of backwardness ni ile ya kujivunia mamichoro ya hovyo hovyo kwenye basi lkn co hili la screenThis just shows the level of backwardness in Tanzania. Yani unafurahia kuona screen kwa backseat ya gari!! Wewe huenda ni mara yako ya Kwanza kuona kitu kama hii.
Naona ATCL inapiga pesa
Hiyo ni live show. Hahaha!? Hebu tuoneshe huko kwenu.This just shows the level of backwardness in Tanzania. Yani unafurahia kuona screen kwa backseat ya gari!! Wewe huenda ni mara yako ya Kwanza kuona kitu kama hii.
Tuletee hio service kwenye bus zenu kila seat iwe na screen na iwe luxury kama hioIs it your first time to travel in a bus with such services? 😳 😳 😳 😳 🤔🤔🤔
Akileta please tag me.Tuletee hio service kwenye bus zenu kila seat iwe na screen na iwe luxury kama hio
Komora anashangaa hiyo airport ilijengwa lini!! Huyo jamaa sijui kama uwezo wake kimaisha ni duni kiasi gani
Hivyo ni vibanda kando mwa barabara, hata usiviite mgahawa maadam havina hio sifa,kwani wewe mzungu unamuona kama sio binadamu wa kawaida? Eti akila kwenye kibanda halafu hicho kibanda hadhi yake inabadilika kinakua cha thamani, chakula ambacho mtu ananunua Kwa ajili ya biashara na amepanga nyumba ya biashara na anafanya Kwa ajili ya faida auze 45 ,najua utapewa ugali,kijiko kimoja cha njegere,dagaa kijiko kimoja, mchicha kijiko kimoja na kipande kimoja cha nyama sikatai hivyo vyakula vipo Dar Kwa hio bei lakini inategemea ni wapi unakula .Ni kwenye migahawa usidhani sisi waongo kama nyinyi chakula safi hadi wazungu wanaijenga reli ya sgr wanakula sehemunyingine sh1500 ndiyo bei ya juukabisa Kwa ugali
Wapwani wanapenda dagaa wa zenji wasiopenda dagaa wa zenji ni watu wa bara.Haawapi dagaaa wenye bei na kupendwa Tanzania ni wakigoma ila awa ninaozungumzia niwa Mwanza ,dagaa wa nzanzibar hawapendwi huku dar
Wala sijakizoea maana hata Mimi mwenyewe sikitumii.Naelewa kila mtu na chakula alichokizoea.
Ukweli huuma,Ila Hali ndio hio.Kichwa chako kipo sawa kwelii!!
Una funza kichwani au umekosea kuandika
Hivyo ni vibanda kando mwa barabara, hata usiviite mgahawa maadam havina hio sifa,kwani wewe mzungu unamuona kama sio binadamu wa kawaida? Eti akila kwenye kibanda halafu hicho kibanda hadhi yake inabadilika kinakua cha thamani, chakula ambacho mtu ananunua Kwa ajili ya biashara na amepanga nyumba ya biashara na anafanya Kwa ajili ya faida auze 45 ,najua utapewa ugali,kijiko kimoja cha njegere,dagaa kijiko kimoja, mchicha kijiko kimoja na kipande kimoja cha nyama sikatai hivyo vyakula vipo Dar Kwa hio bei lakini inategemea ni wapi unakula .
Wale dagaa wakigoma warefuwarefu kama vidole hawajawahi nivutia,heri nikule tu dagaa wa baharini.Mwelimishe huyo, tena wa kiGoma ni ghali sana.
Labda pwani ya Kenya siyo tz dagaa wanaopendwa ni wakigoma nani bei kubwa hao wa Zanzibar bara hatuwapendi hata kidogoWapwani wanapenda dagaa wa zenji wasiopenda dagaa wa zenji ni watu wa bara.
Tuletee hio service kwenye bus zenu kila seat iwe na screen na iwe luxury kama hio
Wale dagaa wakigoma warefuwarefu kama vidole hawajawahi nivutia,heri nikule tu dagaa wa baharini.
We mkaka ni muongo kweli.Nyama vipande vitatu
Sasa mtapenda vipi hata samaki wenyewe wa baharini hamkuli,Nina rafiki kutoka Tanzania bara hata pweza hawezi akamguza.Labda pwani ya Kenya siyo tz dagaa wanaopendwa ni wakigoma nani bei kubwa hao wa Zanzibar bara hatuwapendi hata kidogo