Naton Jr
JF-Expert Member
- Oct 5, 2016
- 7,866
- 19,252
Ni kweli zitajengwa kilometers 100?Dodoma utanoga sana.
Ni kweli zitajengwa kilometers 100?Dodoma utanoga sana.
Sureutakuwa ni mji wa aina yake nawakipekee barani africa na dunia tena wenye ubora
Sent using Jamii Forums mobile app
Znz hotels👇👇👇👇👇
😂😂😂😂😂 failed stateback to the company
Lete picha ya 2019
Ndio zitajengwa, Kwani una wasiwasi?Ni kweli zitajengwa kilometers 100?
staishi na kazi ya kurepost, go back to the previous posts utaziona...
Dah itakua project kubwa sanaNdio zitajengwa, Kwani una wasiwasi?
Kama una mpango wa kwenda kuomba inclusiveness yoyote kwenye hiyo project just move onDah itakua project kubwa sana
Dah kilometers 110 ni project kubwa sana na hizo lanes zote itakuwa funiko AfricaKama una mpango wa kwenda kuomba inclusiveness yoyote kwenye hiyo project just move on
View attachment 1038049View attachment 1038050
Mlikataa hizo zikaenda wapi na leta source inayoonyesha kuwa miliorder mapya kutoka SA
wakenya mnateseka sana
nawaona wakora wanafanya yaoStend ya nairobi hii hapa utasema vyoo vya bar😂😂😂😂👇👇👇👇
View attachment 1037963
Every major project must have renders, hata hiyo brt yenu had renders at some point before it came to actualization. Ama hiyo yenu ilishuka kutoka mbinguni? The render above is Mombasa rd. On the left is AirtelWakenya wameokota renders za google wanakwambia inajengwa ukiwauliza wapi hawajui😂😂😂😂😂😂👇👇👇👇👇
View attachment 1037972
Is it rocket science?😂😂😂😂 Wakenya mnafikiri brt ni mchezo
So unatudanganya hio render ndio munajenga 😂😂😂😂😂 haya nidanganye munajenga wapi???? Aisee munachekesha sana 😆😆😆😆 acheni utani ndugu mombasa road inafanyiwa expansion ila msitudanganye munajenga BRT wakati haikua kwenye plan..punguzeni ujinga na sifa 🤣🤣🤣Every major project must have renders, hata hiyo brt yenu had renders at some point before it came to actualization. Ama hiyo yenu ilishuka kutoka mbinguni? The render above is Mombasa rd. On the left is Airtel
African headquarters and on the right is Furniture Palace
Is it rocket science?
[emoji3]Is it rocket science?
Sio rocket science lakini sio kazi ya dressing table kuchukua a red lipstick and build The BRT with it.Is it rocket science?