Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Usiweke completed projects. Tuwekee projects under construction na speaking of BRT tumeona kwa muda mrefu mkijitahidi kushughulikia hilo suala mpaka juzi hapa eti mka ban matatus from entering the CBD huku hamkuwa na means nyingine za kusafirisha wakenya haya na mibasi ya BRT yenyewe sasa, eh Mungu nisamehe but honestly, Kenya inahitaji dawa, mnavyojiita uchumi wa kati ndo vibasi gani hivi? yaani mlichukua mabasi ya kawaida mkapeleka garage na kupaka rangi ya blue, that's it. Sishangai sana lakini coz for a corrupt nation like yours, this is normal
View attachment 1037973
Msee,we rejected this buses, and we ordered modern ones from South Africa,they will be shipped soon to the country
 
hawajui kama blue colour tz tunaitumia kwa kuwa inatambulisha nchi yetu ,,wao nao walivyo wajinga wakachukua mikalandinga garage nakupiga blue colour wakati wana red colour

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sawa we ona tu renders, soon utakula kwa macho hii BRT yetu kwa kuwa itapendeza kuliko hiyo yenu

Tuoneshe inapojengwa unafkiri sisi wageni kenya sindio๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†
 
Mombasa hotels

1551723056170.png

1551723096085.png

1551723356570.png

1551723410909.png
 
Msee,we rejected this buses, and we ordered modern ones from South Africa,they will be shipped soon to the country
Mlikataa hizo zikaenda wapi na leta source inayoonyesha kuwa miliorder mapya kutoka SA
 
sawa we ona tu renders, soon utakula kwa macho hii BRT yetu kwa kuwa itapendeza kuliko hiyo yenu
Na iko ndio kinachokuumeni mungiki,brt sio mchezo mazee,wenzenu tuko kwenye brt phase 2 now,hiyo ya kwenu ya kuunga unga hata 10% ya ujenzi haijafika unadai itapendeza kuliko hii yetu,acheni wivu wa ki kibera nyie mungiki
 
Back
Top Bottom